Akitoka ndani ya CCM hata maisha yake siyo mbali kufika mwisho.
Halafu mimi sielewi kama walikuwa 38 akachaguliwa mmoja mbona hao wengine wote wameamua kukijenga chama chao hata kama kinaonekana kuwa na Siha mbaya mbele ya Hadhira?
Yeye ana kitu gani cha pekee alichonacho asichoweza kumshauri Magufuli kama ni kizuri kikafanyiwa kazi?mpaka atake kuingia ikulu mwenyewe?
Sasa ndiyo naelekea kuamini kuna kitu kimejificha moyo mwa Lowasa na siyo kizuri kwa Watanzania Lowasa atatugharimu.
Mtu mmoja alisema kuwa "Sumu hainjwi"ila huyu jamaa akihama na kwenda Upinza halafu Watanzania tukamchagua kuwa raisi tutakuwa tumeonja Sumu na kiukweli ukionja Sumu kuna matokeo ya kufa tu na utakufa tu maana hamna namna nyingine.
Ni ndoto kwa watanzania kumchagua Lowasa kuwa rais wa nchi yao. Hao watu aliowapa pesa wampigie debe mara kwa vijana au boda boda ni wachache sana hawawakilishi watanzania hata chembe. Akitaka kujimaliza yeye pamoja na upinzani ajaribu kuingia upinzani. Mrema alipata wafuasi wakati ule kwa sababu kuna watu ambao moyoni mwao (labda kiusahihi au kimakosa) waliamini Mrema ni mchapa kazi mwenye nia nzuri na nchi hii. Ndio maana japo hakuondoka na viongozi wa serikali au CCM alipata sapoti ya hao wananchi walioamini uwezo wake. Ni tofauti sana na Lowasa. Yeye Lowasa anaondoka na sapoti ya viongozi walliopokea pesa kutoka kwake ili wamsapoti, haondoki na wananchi. Badala yake wananchi wanajua kuwa Lowasa ni fisadi asiyeitakia mema nchi hii. Sasa akiruhusu CCM nayo iingie katika kumtangaza kuwa ni fisadi ndio maana akaenguliwa basi itakuwa mwisho mbaya sana kwa Lowasa. Abaki tu CCM watamheshimu hawataanika uozo wake uliosababisha aenguliwe.
Kuachana na siasa ndio option ya muhimu sana kwake kwa sasa.lowasa kwa jinsi alivyodhalilishwa dodoma ana option mbili tu. nazo ni kuachana na siasa na ccm pia au kutoka ccm na kujiunga na upande mwingine. nje ya hapo lowasa amekwisha.
Kwan Wew Unauhakika Gan Kama Lowassa Ni Msafi?Na Magufuli Co Msafi Kvp,toa Ushahid!
Mkuu kwani tunaposema Serikali ya Chama tawala tuna maana gani?Ushauri wako ungekuwa wa maana kama ungeondoa maneno ya serikali na kuweka CCM inaelekea uelewa wako bado ni mdogo sana juu ya uendeshaji wa nchi. Serikali itakuwepo tu hata ccm ikifa.
Rais anayekuja atakuwa amewatendea haki watanzania akiliunganisha hili fisadi na kina Mramba huko jela.
Lowassa ni kiongozi bora na mwenye mvuto mkubwa kwa sasa katika siasa za tanzania. Maamuzi yeyote atakayochukua yatakiathiri sana ccm na pengine kukiongezea majeraa zaidi ya iliyonayo sasa na itakayoyapata baada ya uchaguzi. Hili magufuli hana uzoefu nalo na hata liweza labda baada ya miaka mitano au sita.
Kura yangu bado inabaki kwa lowassa na kama siyo lowasa basi dr slaaa. Hao wengine nitafikiria
Kuachana na siasa ndio option ya muhimu sana kwake kwa sasa.
Wewe kwa vyovyote vile ni lazima fisadi mwenza, ama ulikuwa unaonja hela za hili fisadi lililosababishia taifa matatizo ya huduma ya umeme, ama ni mjinga, au mpumbavu, au ---- ama lofa sijui nikuiteje lakini inaelekea huna uwezo wa kufikiri na ni watu kama nyie mnaoendelea kushabikia ujinga mpaka kabirini. Kwahiyo unaona lowassa ni bora kuliko Magufuli na yeye na Slaa ndio wana sifa zinazoendana? Kwanini hao Chadema mnaowakimbilia ndio walikuwa mstari wa mbele kushinikiza atolewe madarakani wakimchafua ni fisadi kila kona. Huwa naudhika sana ninapoona watu wajinga wajinga wanaropoka humu. Ondoa uchafu wako kamuimbie lowassa wako ngonjera zako hizi.
Napingana na wewe kwa nguvu zote.
Hii nchi ni ya demokrasia .Hizo siasa za kutishana zepitwa na wakati.
Na mpango wowote wa kumdhuru Lowasa utatibuliwa na Mungu mwenyewe. Kumbuka jinsi CCM walivyosubiri dili lao la kifo cha Lowasa kwa muda mrefu huku wakishangilia afya yake ikizorota lakini cha ajabu afya yake iliumarika kwa kasi kuelekea mchakato. Huu ni ushahidi wa kuona jinsi Mungu atakavyoiangusha CCM .
C CM ni chama kilichoumiza na kuwatesa watanzania wengi sana. Watu wamedhulumiwa sana ndani ya mfumo wa CCM . Watanzania wengi wanakilio kikuu kwa Mungu juu ya dhuluma za mfumo mbaya wa CCM.
Lowasa hana cha kupoteza ndani ya CCM kwa umri alio nao.
Hata Dr. Slaa alitishiwa maisha sana lakini mpaka leo yupo. Mrema mpaka ngozi yake imebabuka lakini yupo. Sokoine aliuawa na hakuna hatua zilizochukuliwa zaidi ya unafiki wa kumuenzi.
Loliondo watu wameporwa ardhi yao wakapewa wageni huku nyumba zao zikichomwa moto.
Bulyanhulu watu walipoteza maisha ,Mwembe chai waislam waliuawa ,Zanziba watu waliua kwa chuki za CCM,Mtwara ,Arusha n.k. Damu za watu wema za wazi zimejaa kupitia hiki chama cha kijani. Leo wanatudanganya kwamba Liwasa ni hatari kwa usalama wa nchi.
Sio kweli bali Lowasa ni hatari kwa ustawi wa CCM na dhulma zao.
Kitengo cha kuwatisha watu sasa basi. Wao nao sasa wajiandae kuishi kwa hofu. Haiwezekani nchia maakini kama hii tuendelee kutawaliwa na chama jimoja bila upinzani imara na wabunge wanaojitambua.
Lowasa atapata heshma kubwa akitoka hadharani na kujiondoa kwenye siasa za CCM.
Lowasa akiendelea kubaki CCM ni wazi kuwa atakuwa ni msaliti wa taifa hili na atakua amewasaliti watu waliosimama na kuonyesha ukiukwaji mkubwa wa kanuni uliofanywa na chama chake.
Kitengo maalum ndani ya CCM ni janga kwa taifa hili lenye mfumo wa vyama vingi. Hakuna mtu atakayeendelea kukubali Nape atumike kuchakachua kura za mamilioni ya watanzania watakaomchagua mpinzani kwa manufaa yake mwenyewe.
CCM walipaswa kumkatalia Lowasa wakati wa kuchukua form ili ajue kuwa hastahili. Walichofanya ni kutumia ubabe kumdhalilosha ili atakapotumia uhuru na demokrasia yake kwa wananchi basi watumie vitisho kumuogopesha.
Kuna uovu mkubwa uliojificha ndani ya CCM na sio kwa Lowasa kama mnavyodai. Lowasa kinachotumika ni ukanda anotoka na dini yake na sio vingine. Na wale waliotumia muda mwingi kumchafua wameaibika kwani nao wameambulia patupu.
Na bila shaka CCM mwaka huu itaaibika sana pamoja na kuanza kampeni mapema.
Watanzania tunapata tabu yote hii kwa sababu ya TB Joshua! Ule utabiri wake na uhakikisho kwamba EL atakuwa Rais basi imekuwa sheeeedahAkitoka ndani ya CCM hata maisha yake siyo mbali kufika mwisho.
Halafu mimi sielewi kama walikuwa 38 akachaguliwa mmoja mbona hao wengine wote wameamua kukijenga chama chao hata kama kinaonekana kuwa na Siha mbaya mbele ya Hadhira?
Yeye ana kitu gani cha pekee alichonacho asichoweza kumshauri Magufuli kama ni kizuri kikafanyiwa kazi?mpaka atake kuingia ikulu mwenyewe?
Sasa ndiyo naelekea kuamini kuna kitu kimejificha moyo mwa Lowasa na siyo kizuri kwa Watanzania Lowasa atatugharimu.
Mtu mmoja alisema kuwa "Sumu hainjwi"ila huyu jamaa akihama na kwenda Upinza halafu Watanzania tukamchagua kuwa raisi tutakuwa tumeonja Sumu na kiukweli ukionja Sumu kuna matokeo ya kufa tu na utakufa tu maana hamna namna nyingine.
ndani ya ccm hakuna asiye fisadi kamwe. wanatofautiana tu...
Ningekuwa mimi ningeachana na siasa na kuomba suluhu na Chama changu waridhie suluhu nirudi kijijini nikachunge ng'ombe wangu huku nikipata zile haki za Waziri Mkuu Mstaafu. Nisingetaka tena kuwachokoza kwa kuwa sikustaafu uwaziri mkuulowasa kwa jinsi alivyodhalilishwa dodoma ana option mbili tu. nazo ni kuachana na siasa na ccm pia au kutoka ccm na kujiunga na upande mwingine. nje ya hapo lowasa amekwisha.
Ni ndoto kwa watanzania kumchagua Lowasa kuwa rais wa nchi yao. Hao watu aliowapa pesa wampigie debe mara kwa vijana au boda boda ni wachache sana hawawakilishi watanzania hata chembe. Akitaka kujimaliza yeye pamoja na upinzani ajaribu kuingia upinzani. Mrema alipata wafuasi wakati ule kwa sababu kuna watu ambao moyoni mwao (labda kiusahihi au kimakosa) waliamini Mrema ni mchapa kazi mwenye nia nzuri na nchi hii. Ndio maana japo hakuondoka na viongozi wa serikali au CCM alipata sapoti ya hao wananchi walioamini uwezo wake. Ni tofauti sana na Lowasa. Yeye Lowasa anaondoka na sapoti ya viongozi walliopokea pesa kutoka kwake ili wamsapoti, haondoki na wananchi. Badala yake wananchi wanajua kuwa Lowasa ni fisadi asiyeitakia mema nchi hii. Sasa akiruhusu CCM nayo iingie katika kumtangaza kuwa ni fisadi ndio maana akaenguliwa basi itakuwa mwisho mbaya sana kwa Lowasa. Abaki tu CCM watamheshimu hawataanika uozo wake uliosababisha aenguliwe.
Kweli kabisa kwani na sisi wana UKAWA tutawauliza kuwa mmemchagua
kwa vigezo vipi. Ikizingatiwa kuwa ALIISHA KATWA mahala flani hivi hapa mjini.
na CHADEMA ikijiroga kumchukua na kumsimamisha babu mamvi ntachana chana kadi yao.
kama akija huku kwetu inabidi awe "common man" tu kwa miaka isiyopungua 5 tukimuweka
under probation mpaka tujiridhishe juu ya maisha yake mapya.
Kama sio Hofu "Ebu tupia Hints na Ushahidi wa ufisadi wa Eddo Lowassa, ambao Unadhani Walioko CCM ni Wasafi. Jiongeze ndg yangu
ndani ya CCM Hakuna kitu kiitwacho Rushwa bali Takrima. Hakuna Msafi ndani ya CCM, Hiyo Tuhuma ya Richmond Haina Uhalisia na
Serikali nzima Ilikuja Kujua Tayari Imeingizwa Mjini.

hata hivyo siku si nyingi neno lake bwana litatimiaWatanzania tunapata tabu yote hii kwa sababu ya TB Joshua! Ule utabiri wake na uhakikisho kwamba EL atakuwa Rais basi imekuwa sheeeedah
Kwani yeye magufuli ana nini hicho kwa nini asimwachie lowasssa tu? Acha ujinga wewe. Lowassa anavision na vision kwa taharifa yako ni some form of energy ambayo mtu anakuwanayo...haiwezi kuktoka hivi hivi na haswaa ndo inayotoa msukumo. Kwa mtazamo wangu energy na msukumo aliokuwa nao lowassa ni mkubwa sana kuliko magufuli. Ukitaka kupima angalia hamasa na mihamko ya watu katika kila kona....ni lowasa lowasa.. upinzania..uraisi. Huu msikii yeboyebo kabisa akitajwa. It s just natural so usiumie. Watu wanataka kile kitu kinacho wastimulate bwana ...magufuli hapana..BIG NO!