Lowassa apigwa mawe Tarime

Mimi sio kitu ccm, nimeku quote tuu ulivyopost gazeti la mwezi wa 6, sasa hasira za nini mkuu?

hiyo ni mwezi june kabla ya EL kujiunga na harakati za kweli za ukombozi wa Tanzania.

Kuniita ccm ni sawa na kunizika wakati niko hai.
 
''Akumbana na nguvu ya Chadema, vijana ''wa chadema'' warusha mawe''
Huyu ndie rais ajae !!!
 
Simpendi EL,
Lakini TanzaniaDaima mmeripoti habari kiushabiki sana
nawapenda UKAWA lakini unaweka kichwa kidogo cha habari ati
"Akumbanan na Nguvu ya Chadema, Vijana warusha mawe"
hivi hili nalo ni la kujisifia???

Kwahiyo unataka kusema UKAWA ndo walifanya hivi?
 
hiyo ni mwezi june kabla ya EL kujiunga na harakati za kweli za ukombozi wa Tanzania.

Kuniita ccm ni sawa na kunizika wakati niko hai.

Hahaa pole mkuu sikutaka kukuzika, nimekuelewa samahani mkuu..Mimi sina chama sema nataka mabadilika na Lowassa ndio atabadilisha hii nchi, ccm inabidi wakubali waachie nchi kiroho safi maana hawajafanya lolote miaka yote 54, sasa wawape wenzao nchi miaka 5 sio mingi tuone kama watafanya the same mistakes ccm wamefanya..
 

hapo sasa tuna ongea lugha moja!
 

Kwa kweli ccm pumzi imekata. Sasa hii thred ya toka june inawasaidiaje kwenye kampeni za sasa hivi? Hivi tuamini mlioko huko wote hayupo anaejua kwamba katika siasa usiku mmoja tu unaweza kubadilisha misimamo na hata matokeo ya kura? Nawashauri wale wenye uelewa watoroke na kujiunga ukawa wao pumzi ni ya kufikia.
 
Maskini manyumbu walipo ambiwa wapige wakapiga walipo ambiwa msafi wakasafisha barabara
 
Haaa..!! rangi ya Lowassa imewachanganya wakadhani ni mzungu wa Barrick. Dah ushamba mwingine..!! Lowassa mbona ni mtanzania mwenzetu wala sio wale wanaowaibieni makinikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…