Lowassa apigiwa saluti Kenya

kwani tatizo ni nini?

Tatizo ni nani anayekupigia saluti, kwani hata mateja kuna mateja wenzao wanaowazidi utumiaji wa kilevi chao huwa wanawapigia saluti na huwa wanajisifu, utasikia 'White yuko vizuri katika utumiaji mambo yetu yale!!! Aaa saluti sana kwake, namkubali.' Tafakari.
 
Tuwasifie wanaogundua ma solar panels kutuondolea kero za maisha sio wanaosalimiwa Kenya!!! What the heck!!kwanza cheo chahao askar inaonekana Ni chachini na pengine walitarajia ka tip kidogo.
 
Hata kijana wangu wa getini kutoka moja ya kampuni za ulinzi alikuwa ananipigia saluti ninapoingia....ila nikamwambia aache...
 
Hata Magu anaujua moto wa EL! Kama kwenda kihalali kabisa! .....mbona mboga ilishamwagika? Inajulikana kote Mbinguni na duniani
 
Tuwasifie wanaogundua ma solar panels kutuondolea kero za maisha sio wanaosalimiwa Kenya!!! What the heck!!kwanza cheo chahao askar inaonekana Ni chachini na pengine walitarajia ka tip kidogo.
Hao ni askari wenye vyeo
 
Mnashangaa nini? Kama Raila Odinga alipigiwa salute kule Chato/Tanzania kwanini Lowassa asialikwe naye akapigiwa salute huko Kenya? jPM=Raila? Na Kenyatta=Lowasa? Mpaka hapo mchezo haujaisha?
 
Mnashangaa nini? Kama Raila Odinga alipigiwa salute kule Chato/Tanzania kwanini Lowassa asialikwe naye akapigiwa salute huko Kenya? jPM=Raila? Na Kenyatta=Lowasa? Mpaka hapo mchezo haujaisha?
Unajifunza ninihapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…