Lowassa apigiwa saluti Kenya

Hahahaaha askari wa kenya bro hata wewe wanaweza kukupigia salute ili mradi uonekane una kaharufu kauongozi, yaani ni me kiongozi au uliwahi kuwa kiongozi.

Au hujui hata hapa bongo askari wanatakiwa wawapigie salute wabunge?
 
Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.

Wewe nae ni ndina kweli! Unataka kutueleza kuwa wamempokea akiwa rais wa nchi au mgombea aliyeshindwa? Take in mind - lowassa ni waziri mkuu mstaafu so saluti ni halali yake

Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
 
Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.

Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!

Kweli anakubalika na walinzi wa usiku tena waliovaa sare zao za ulinzi na raba nyeupe! Mwenye akili asinge weka hii picha kwa ajili ya kumsifia kwani inaelezakinyume chake! Fanya Editing, mkate huyo mmoja ubaki na MKK au kama unataka sare zinazofanana na jeshi zionekane mkate mguu huyo mzee wa raba nyeupe.

Ushauri tu, kwani akili zimetofautiana sanaaaaaaa
 
Kweli anakubalika na walinzi wa usiku tena waliovaa sare zao za ulinzi na raba nyeupe! Mwenye akili asinge weka hii picha kwa ajili ya kumsifia kwani inaelezakinyume chake! Fanya Editing, mkate huyo mmoja ubaki na MKK au kama unataka sare zinazofanana na jeshi zionekane mkate mguu huyo mzee wa raba nyeupe. Ushauri tu, kwani akili zimetofautiana sanaaaaaaa
kwani tatizo ni nini?
 
Halafu haujui maana ya saluti, saluti ni salam anayotoa asikari kwa asikari mwenzie au kwa kiongozi kulingana na muktadha na itifaki. Kupigiwa saluti kwa lowassa sio kwamba ni mtu maalum bali ni kulingana na itifaki iliyokuwepo
 
Itifaki ipi?
 
Back
Top Bottom