Lowassa apigiwa saluti Kenya

Lowassa apigiwa saluti Kenya

Hahahaaha askari wa kenya bro hata wewe wanaweza kukupigia salute ili mradi uonekane una kaharufu kauongozi, yaani ni me kiongozi au uliwahi kuwa kiongozi. Au hujui hata hapa bongo askari wanatakiwa wawapigie salute wabunge??
Duh!
 


Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.

Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
mbn wanaonekana kama migambo,au hata mgambo ni askari ila wa hadhi ya chini kidogo?
 
Back
Top Bottom