CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #81
Sio kweliNyie si mmeficha ushahidi mliosema kuwa mnao.....
Sio kweliNyie si mmeficha ushahidi mliosema kuwa mnao.....
2020 umpigie kura ya ndio, anakubalika hata kwa majiraniKwa hiyo.??
Hashafishiki sababu sio mchafu. Kinachosafishwa ni kichafu.Hata mimi namshangaa sana Kubenea alivyosema hasafishiki halafu yeye mwenyewe ndio sasa ameshika brush na sabuni,kweli adui yako muombee njaa
lowassa ni mwanajeshi?Salute ni salamu ya jeshi, wao hawatumii maneno.
Kwahiyo tusiwaamini siku hiziHashafishiki sababu sio mchafu. Kinachosafishwa ni kichafu.
Angekuwepo hapo kiongozi angeonekana.You never know labda lowassa alikuwa na kiongozi mwingine wa huko Kenya ndo akapigiwa saluti
Lowassa ni captain wa jeshi. Nasikitika kwanini hataki kujitambulisha kama mwanajeshi.lowassa ni mwanajeshi?
Teh teh teh teh....He jamani hivi unawajua wakenya lakini.mi niliwahi kwenda Kenya na gari ya Land cruiser new Model , tukaingia hoteli ya kitalii kila tulipopita ni misaluti tu! Nahuku sina cheochochote! Wakenya wanajua biashara eti! Walidhani naenda kodi chumba labda kumbe mimi nilikuwa najipatia soft drink na kuondoka!
Ndio kombati za askari Polisi wa kenya.Mmmh!!!hao ni askari wa kampuni ya ulinzi,huyo alie vaa baka kwanza kachanganya mavazi.
Mchango wako ni upi Mkuu tuuchukue?Uccm na ucdm wenu unawakwaza wasioshabikia vyama,
Imefika wakati kuna watu hawaamini kama inawezekana mtu asishabikie chama chochote ,, hii ipo hasa vichwani mwa waliokunywa maji ya bendera zao. Ila hasara ni kwamba mnashindwa kuchukua michango chanya kutoka kwa watu wasioshabikia vyama vyenu
ACHENI USHABIKI WA KIVYAMA ,,, NJOONI TUIJENGE TANZANIA.
Hamna ni waaraia.labda ni askari wa wanyamapori.
Kafanya hivyo sababu kashika kitu mkononi.Askari hajui kupiga salute. Huyo aliyeshika kitu cheusi, mkono kawekaje? hamuoni mwenzake?
Mkuu wewe kweli siasa unaweza duuhHashafishiki sababu sio mchafu. Kinachosafishwa ni kichafu.
hata huku kwetu kuna mgambo wa makampuni binafsi wanalinda Makanisa, Askari wa Tanzania ni kosa kuchanganya mavazi na kupiga salutikwani tatizo ni nini?
ahsante!Mkuu wewe kweli siasa unaweza duuh
Kuna askari wa kupiga saluti kanisani akisimikwa Askofu? Askari kavaa combat Kanisani? Au ndiyo wanakotupeleka UKAWA? Mbona Lowassa yuko peke yaje hana Askofu wala Ruto?Kwa hiyo.??
Sio kweli
kuwa ccm inabidi uwe na akili za ziada hivi nani hasiejua heshima lowasa aliyonayo hata hapa tz? Ije itokee mkutano wa lowasa na magufuri tuone mwitikio wa watu! Hii sio siri kila mmoja anajua nguvu ya lowasa ndani na nje! Ndo ukweli
Mmh!Nina ushahidi usio na shaka juu ya ufisadi wa Lowasa- John Mnyika...
Mmh!usipine kona zungumzia mada iliyo jukwaani wewe mwenye akili timamu, mtu anapigiwa saluti nje ya kanisa na wanaompigia saluti unawaona zungumzia hilo, heshima kila mtu ana heshima yake, hata babu wa samunge pia anaheshimia sana tu