Lowassa apigiwa saluti Kenya

Lowassa apigiwa saluti Kenya



Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.

Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
Hata mimi namshangaa sana Kubenea alivyosema hasafishiki halafu yeye mwenyewe ndio sasa ameshika brush na sabuni,kweli adui yako muombee njaa
 
Kweli anakubalika na walinzi wa usiku tena waliovaa sare zao za ulinzi na raba nyeupe! Mwenye akili asinge weka hii picha kwa ajili ya kumsifia kwani inaelezakinyume chake! Fanya Editing, mkate huyo mmoja ubaki na MKK au kama unataka sare zinazofanana na jeshi zionekane mkate mguu huyo mzee wa raba nyeupe. Ushauri tu, kwani akili zimetofautiana sanaaaaaaa
kuwa ccm inabidi uwe na akili za ziada hivi nani hasiejua heshima lowasa aliyonayo hata hapa tz? Ije itokee mkutano wa lowasa na magufuri tuone mwitikio wa watu!

Hii sio siri kila mmoja anajua nguvu ya lowasa ndani na nje! Ndo ukweli
 


Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.

Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
He jamani hivi unawajua wakenya lakini.mi niliwahi kwenda Kenya na gari ya Land cruiser new Model , tukaingia hoteli ya kitalii kila tulipopita ni misaluti tu! Nahuku sina cheochochote!

Wakenya wanajua biashara eti! Walidhani naenda kodi chumba labda kumbe mimi nilikuwa najipatia soft drink na kuondoka!
 
Uccm na ucdm wenu unawakwaza wasioshabikia vyama,

Imefika wakati kuna watu hawaamini kama inawezekana mtu asishabikie chama chochote ,, hii ipo hasa vichwani mwa waliokunywa maji ya bendera zao. Ila hasara ni kwamba mnashindwa kuchukua michango chanya kutoka kwa watu wasioshabikia vyama vyenu

ACHENI USHABIKI WA KIVYAMA ,,, NJOONI TUIJENGE TANZANIA.
 
kwa taarifa yako lowasa ni mwanajeshi kwa cheo cha captain. tena aliwah kuwa wazir mkuu . kwa hiyo salute hata IGP anatakiwa ampgie.
 
Back
Top Bottom