Lowassa Apeleka Katrina Babati. Mji Wasimama

Lowassa Apeleka Katrina Babati. Mji Wasimama

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Ieleweke kuwa hii ni bila hata kuleta msanii wala hakuna hata aliyeletwa na bajaji. Ni tofauti na wenzetu hawafanyi mkutano bila wasanii 20 na malori 50 yanayopiga ruti kumi kumi za kubeba watu. Angalia gharika lililoikumba babati jana. Watu wanafurika kwa mioyo yao. Mji ulisimama kwa saa 4.
 

Attachments

  • 1443844309391.jpg
    1443844309391.jpg
    25.7 KB · Views: 986
  • 1443844321974.jpg
    1443844321974.jpg
    27.9 KB · Views: 935
  • 1443844332567.jpg
    1443844332567.jpg
    20.4 KB · Views: 669
  • 1443844343324.jpg
    1443844343324.jpg
    32.2 KB · Views: 649
  • 1443844353683.jpg
    1443844353683.jpg
    33.9 KB · Views: 661
Yaani naomba, wampigie kura ccm waondoke madarakani.
 
Jana nimehakikisha najifunza namna ya kupiga kura ili by any means nisiharibu kura yangu.Naomba wana mabadiliko woote tuhakikishe wenzetu wanajua hi ndo kampeni yetu.Na wakumbusheni watu wasichore maskio kwa magufuli
 
Hakuna atakayebaki nyumbani siku hiyo,tena mimi nitakuja na mbwa zangu 4 ili zinisaidie kulinda kura.
 
duh.shikamoo lowasa. ingekuwa kwa wale wenzetu malori mengi sana yangetumika kusomba watu...
 
Eeee Mungu mwenye mamlaka juu ya mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Tunakushukuru kwa utukufu wako unaozidi kujidhihiri mbele ya nyuso wa watanzania wako!

Tunakuomba mamlaka yako iwapatie watanzania hawa haja ya kilio chao! Amen!
 
Halafu ndio tuje tusikie ccm imeshinda mbona patakuja kuchimbika
 
Sasa hivi wameacha kusema kuwa ni picha za kuunga, sasa wanasema wanaletwa na malori lakini ukiwaambia wekeni picha za hayo malori kimyaaaaa
 
Kati ya mtu anayeichukia CCM ni mimi. Siku CCM ikianguka nitakuwa na sherehe kubwa hapa nyumbani kwangu nikiwaalika majirani zangu wote.
 
Balaaaa, magufuli anapiga honi
 
yani nmeandaa mafataki yangu ili tar 25 night akitangazwa EDO ameshinda nianze kuyalipua kama mwaka mpya vlee. ntakuwawenye furaha sana siku mkoloni mweusi tukimtoa madarakani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom