Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ama kweli penye udhia penyeza lupia....yaani leo huyu Lowasa amekuwa lulu CHADEMA na amekuwa msafi kama theruji......wonders shall never end....
Endelea kushangaa mkuu,ndio wakati wako wa kufanya hivyo kwani baada ya november ndio atakuwa prezidaa wako,hakuna jinsi