kwa jinsi Magufuli anavyofumua mtandao wa mafisadi ni lazima atasepa tuumeambiwa yupo gerezani na karibia atoroke?
Magufuli mwenyewe mbona nae ni mwizi tu. Watanzania wengi wenu bado elimu yenu ni ndogo sana. Badala ya kulilia haki zenu yaani mmpate katiba bora ili muwe na uhuru wa kuongea, muweze kupata mahospital shule, maji mnabaki kushinda jf kuandika watu wa kunyanganywa passport. Lowassa hawezi fungwa hata cku moja akifungwa ujue nchi itatikisika na hata akina jk itabidi wawe ndani. Ucfikiri watu wakikaa kimya ukadhani ni mambumbu kama maccm. Wenye elimu zao wapo na mambumbu wapo lumumbanaunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Wewe ume elewa gani ?Huku ndo kusema gani?
Hizo ranch zilikuwa mali ya nani eti?naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Kwani Balali amekatwa.?Ina maana Tanzania ukifanya uhalifu ukafanikiwa kutoroka huwezi kamatwa
Dalili ya mvua ni mawingu. Kitendo cha kulazimika kujidhamini maana yake kuna jambo haliko sawa. Kwa hiyo jiandae kisaikolojia, lolote laweza kutokea.Magufuli mwenyewe mbona nae ni mwizi tu. Watanzania wengi wenu bado elimu yenu ni ndogo sana. Badala ya kulilia haki zenu yaani mmpate katiba bora ili muwe na uhuru wa kuongea, muweze kupata mahospital shule, maji mnabaki kushinda jf kuandika watu wa kunyanganywa passport. Lowassa hawezi fungwa hata cku moja akifungwa ujue nchi itatikisika na hata akina jk itabidi wawe ndani. Ucfikiri watu wakikaa kimya ukadhani ni mambumbu kama maccm. Wenye elimu zao wapo na mambumbu wapo lumumba