Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,476
Anadai mzee ana sura nzuri lakini sio mvumilivu wa demokrasia ya kisasa. Anadai upinzani ungepata tabu sana.Lowasa angekuwa dicteta km Mbowe au tindu lissu
Alimwekea Dr Slaa vidukuzi ktk chumba chake hotelini, vilirekodi sauti ya watu wanaingia na kuongeanaye, simu anazopigiwa(sauti), picha nk.Inawezekana pia ingekuwa hivyo,maana wakati ni PM kuna watu wanaujua moto wake na wengine walisherehekea baada ya kuachia ngazi
Wanasiasa wote walewaleAlimwekea Dr Slaa vidukuzi ktk chumba chake hotelini, vilirekodi sauti ya watu wanaingia na kuongeanaye, simu anazopigiwa(sauti), picha nk.
Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa 80% ni kwamba wakurugenzi wote wangekuwa na asili ya mikoa ya Kaskazini.Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.
Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.
Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.
Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.
Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.
Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.
Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.
Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.
Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.
Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.
Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
Kumbe mnaomjua mpo?Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja kuwa Lowassa angekuwa dictator kama alivyo Magufuli. Ukweli ni kuwa katika hilo la udictator na kuuchukia upinzani, Magufuli na Lowassa hakuna anayemuiga mwenzake, bali wote wako sawa kwa kila kitu linapokuja suala la uvumilivu wa kukosolewa. Niliwashangaa sana wapinzani waliokuwa wanamshabikia Lowassa, ukweli ni kuwa Lowassa ni mmoja kati ya watu walioendesha siasa za kishenzi na kikatili hapa nchini, na hata huko jimboni kwake alikuwa anashinda kwa kupita bila kupingwa kutokana na unyama aliokuwa anawafanyia washindani wake. Hili la kwamba Magufuli angekuwa na afadhali kuliko Lowassa sio kweli, kwani wote ni makatili wasioweza kujenga hoja za ushawishi wa kisiasa, zaidi ya kutumia mabavu.
Kwanini unasema hivyo?Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa 80% ni kwamba wakurugenzi wote wangekuwa na asili ya mikoa ya Kaskazini.
achana nao, wanafikiri wapinzani wakibanwa ni hasara kwa kina Mbowe na Msigwa... Ujinga ni mtaji.Upinzani kubanwa ni matokeo ujinga wetu.
Mbona JF huwa haina mafungamano na yeyote.Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
Kwa sababu alivyopewa uwaziri mkuu kipindi kile alifanya hivyoKwanini unasema hivyo?
Mbona JF huwa haina mafungamano na yeyote.
Sio tu CCM ata kama angeshinda kupitia Chadema, Ccm ingedidizwa vibaya sana, labda kama Chadema wanamfumo wa kukontroo kiongozi wao ambae atakua Raisi.Anadai mzee ana sura nzuri lakini sio mvumilivu wa demokrasia ya kisasa. Anadai upinzani ungepata tabu sana.
acha uongo lowasa ana akili natural haongozi kwa kutumia Elimu yake ya PhDKwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.
Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.
Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.
Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.
Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.
Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
Kwahiyo CCM ingekuwa moja ya chama cha upinzani!!!!. Hapo naona upande huo ungebanwa sana hadi kuliko mlango kubana mjusi.Anadai mzee ana sura nzuri lakini sio mvumilivu wa demokrasia ya kisasa. Anadai upinzani ungepata tabu sana.