Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,198
6,416
Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.

Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.

Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.

Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.

Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.

Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
 
Inawezekana pia ingekuwa hivyo,maana wakati ni PM kuna watu wanaujua moto wake na wengine walisherehekea baada ya kuachia ngazi
 
Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.

Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.

Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.

Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.

Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.

Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa 80% ni kwamba wakurugenzi wote wangekuwa na asili ya mikoa ya Kaskazini.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja kuwa Lowassa angekuwa dictator kama alivyo Magufuli. Ukweli ni kuwa katika hilo la udictator na kuuchukia upinzani, Magufuli na Lowassa hakuna anayemuiga mwenzake, bali wote wako sawa kwa kila kitu linapokuja suala la uvumilivu wa kukosolewa. Niliwashangaa sana wapinzani waliokuwa wanamshabikia Lowassa, ukweli ni kuwa Lowassa ni mmoja kati ya watu walioendesha siasa za kishenzi na kikatili hapa nchini, na hata huko jimboni kwake alikuwa anashinda kwa kupita bila kupingwa kutokana na unyama aliokuwa anawafanyia washindani wake. Hili la kwamba Magufuli angekuwa na afadhali kuliko Lowassa sio kweli, kwani wote ni makatili wasioweza kujenga hoja za ushawishi wa kisiasa, zaidi ya kutumia mabavu.
 
Kumbe mnaomjua mpo?
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Mbona JF huwa haina mafungamano na yeyote.
 
Anadai mzee ana sura nzuri lakini sio mvumilivu wa demokrasia ya kisasa. Anadai upinzani ungepata tabu sana.
Sio tu CCM ata kama angeshinda kupitia Chadema, Ccm ingedidizwa vibaya sana, labda kama Chadema wanamfumo wa kukontroo kiongozi wao ambae atakua Raisi.
 
Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.

Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais Magufuli. Anadai mbinu anazotumia Magufuli hivi sasa, aliziasisi Lowassa na wafuasi wake wa zamani ambao ni masalia serikalini ndiyo wanaomfundisha Magufuli mbinu hizo.

Nilimuuliza anajuaje Lowassa angekuwa muuaji wa upinzani kuliko Magufuli? Akanijibu kuwa aliwahi kuwa karibu na Lowassa asiyependa ukosoaji na kwa kifupi Angeukwaa Urais wa JMT 2015 kupitia CCM, ni lazima angemaliza kabisa upinzani nchini.

Amedai hata Ushindi wa kishindo na wakati mwingine kupita bila kupingwa na kupelekea uchaguzi kutofanyika Jimboni Monduli, Uligubikwa na usanii mwingi. Anadai wakati mwingine wapinzani wake walihamishwa mbali na Monduli na kupewa Vyeo serikalini au hata kuathibiwa.

Mwanaharakati huyu ananipa mifano ya mwaka 2005, 2010 na serikali za mitaa 2014 jimboni Monduli ambapo Lowassa alicheza rafu nyingi mno.

Kumbe yoote anayoyafanya Magufuli ni kuiga kutoka kwa Lowassa wa CCM hapo zama za kale.
acha uongo lowasa ana akili natural haongozi kwa kutumia Elimu yake ya PhD
 
Anadai mzee ana sura nzuri lakini sio mvumilivu wa demokrasia ya kisasa. Anadai upinzani ungepata tabu sana.
Kwahiyo CCM ingekuwa moja ya chama cha upinzani!!!!. Hapo naona upande huo ungebanwa sana hadi kuliko mlango kubana mjusi.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom