Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
Nenda tu uwaulize kule alikosomea shule humu JF hawana majibu.
 
Alimwekea Dr Slaa vidukuzi ktk chumba chake hotelini, vilirekodi sauti ya watu wanaingia na kuongeanaye, simu anazopigiwa(sauti), picha nk.
Lazima mtu ukae kimukakati sio kukaakaa tu bila mpango wowote. Hata mnyama anaitwa....... anabadili rangi zake kulingana na alipokaa.
 
Hili suala la kupiga ban mikutano na maandamano ya kisiasa binafsi naliunga mkono 100% ulikuwa ni upumbavu tu kuruhusu.

Imagine,2007 watu walikusanywa kwa maelfu pale Mwembeyanga grounds wakatajiwa orodha ya fedheha,miaka 8 baadae watu haohao wakajitokeza tena mchana kweupe na kuanza kuomba ushahidi wa hao waliowataja kama kweli ni mafisadi!! WTF

Kule Mwanza kila wiki kulikuwepo maandamano yakiratibiwa na Wenje hasa mtaa wa Makoroboi na kule Furahisha yamepelekea watu kuporwa maduka yao,watu kupata ulemavu etc.

Africa inahitaji aina yake ya Demokrasia siyo hii imported!!

Mods tafsirini hii comment for the English Audience!!
 
Kubadirishia gia angani!!!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom