Mtu kuongea hawezi jamani watanzania tunakwenda wapi? Hivi mmechanganyikiwa au mbona siwaelewi mmekaa kama nyumbu wa Serengeti mnajiendea tu.
Amenza kuwa MTU mwema baada ya kuja CDM? Sio nyie mlokuwa mnamwita fisadi, mwizi na majina mengine ya ajabu ajabu? Leo kawa msafi tena? Don't be hypocrite... Acheni unafiki..
Mtu kuongea hawezi jamani watanzania tunakwenda wapi? Hivi mmechanganyikiwa au mbona siwaelewi mmekaa kama nyumbu wa Serengeti mnajiendea tu.
Si kila mtu ni msemaji/muongeaji wengine ni watekelezaji tu hawakurupuki na maneno vitendo ndiyo vinaongea
nunua kasuku. tunahitaji wapiga kazi sio porojo
View attachment 273070
Salaam Jamii Forums.
Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.
Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?
kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.
kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?
mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.[/QUOTE
Chuki binafsi tu kwa mzee Ngoyai.............huyu ndo rais ajae
Alikuwa akiwanyina usingizi coz walikuwa wanajua yy ndiye kikwazo kikubwa cha kuwanyima ikulu ndo mana walikuwa wakimnafkia ili wapate chance coz siasa ni unafki ili wewe ufanikiwe inakulazimu umnafkie mwenzako iwe uongo au ukwel....Ila kwa kuwa yuko kwao wataongea ukweli wataacha unafki
View attachment 273070
Salaam Jamii Forums.
Mimi si mwanasiasa, lakini naamini katika maisha ya kiraia katika nchi yoyote, kuna siasa.
Naomba kuuliza: hivi kosa la Mzee Ngoyai ni lipi?
kipande kimoja katika hotuba yake wakati anaingia Chadema kilisema 'chuki iliyokithiri juu yangu'.
kipande hiki kiliniuma sana. Mzee Ngoyai ni mwanadamu. Binadamu hatufundishwi kuchukiana. kwa nini kuna watu wamejipa uhalali wa kumchukia Mzee Ngoyai kwa kiwango kikubwa namna hii?
mbona anaonekana mtu mwema tu. ubaya wake ni nini? hebu mnaomchukia naomba mtuambie.[/QUOTE
Chuki binafsi tu kwa mzee Ngoyai.............huyu ndo rais ajae[/QUOTEtu
wewe sio mwanasiasa na kama ni mwanasiasa basi wewe ni wale wanafiki,haiingi akili watu wakuchukie wewe tangu 1995 adi 2015,
basi sis waumini wa dini tunasema wewe sio changuo la mungu haiwezekani,
unajua binadamu yeye akiwa na uwezo wa pesa anajiona yeye ndo yeye wengine hawana maana na ndo tunayoyaona huku tunapoishi ,na lowasa yuko hivyohivyo anajiona yeye ndo bara kuriko wengini,
mtu msafi na anayekubalika hata kwa mungu haitaji mapambo nuru ya bwana iko nae kila kona kila anaemuona anasema kweli huyu ni changuo la mungu,mimi ninaamini lowasa sio changuo la mungu kuwa rais hata afanyeje atumie pesa zake zote haitawezekana,