MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
1.Yeye Kurejea na Kuiongoza Tanzania-'Over my dead body' and i suppose i speak for many Tzns.
...na agombee tu. Ni haki yake kikatiba, ...na si ajabu akajizolea kura nyingi tu za kumtosha.
...na agombee tu. Ni haki yake kikatiba, ...na si ajabu akajizolea kura nyingi tu za kumtosha.
ni haki ya kikatiba lakini hana qualification...atapata kura kwa vile tu sisi ni wavivu wa kufikiri na wa kukubali mabadiliko-nidhamu ya kiuoga.
ni haki ya kikatiba lakini hana qualification...atapata kura kwa vile tu sisi ni wavivu wa kufikiri na wa kukubali mabadiliko-nidhamu ya kiuoga.
We do not need this kind of spirit, the issue isn't about him going for presidency, the issue is, does he possess what it takes to lead us!
jamaa akifanikiwa kupata uraisi basi nitakubali rasmi kwamba tanzania shamba la bibi.
ndio maana nimesema hii itanifanya nikubali rasmi.Duh mkuu kwani kweli upo Tanzania?
Unamaana mpaka sasa hujaamini Tanzania ni shamba la bibi wewe naona umeshiba.
Chunga hiyo kauli, lolote laweza tokea Tanzania ukasononeka sana. Mie sikutegemea kabisa na nikaapa piga ua CCM isingetuchagulia mkuu wa kaya 2005 lakini Wadanganyika, ambao ndio wengi, hasa Kanda ya Ziwa, wakaniangusha najiona!!!
Matokeo yake ndiyo hayo tunayoyaona, nchi haina tena uongozi. Hivi mkuu wa kaya yetu wa leo alikua na wasifu gani hata kuwashinda wagombea wenzake wakati ule kama sio ufisadi tu?
Mungu wee! tuepushe isijekuwa kweli