You don' tell me!
Mimi nadhani lowassa would be the right candidate for presidency! Huyu wa sasa hakuna kitu na sijawahi kuona mchapakazi kama Lowassa katika CCM nzima. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me! I know you were accused unjustiably by the "happy go luck" Mwakyembe and his goons! They had nothing against you except wivu tu kwa jinsi ulivyokuwa makini na mwepesi katika kutekeleza majukumu yake. CCM wanapenda watu wanaoendekeza majungu na si wachapa kazi kama yeye. Waliangalia kibanzi katika jicho lako na kusahau boriti katika macho yao. GO LOWASSA, GO.............You are my man!
Too late, kishawashika pabaya! Uliza ni vyombo vingapi vya habari kishaweka mkono ndipo ujue kazi ipo, si ndogo...
Invisible,
Hata mimi ninaweza kumpigia, kwa nini? kwa sababu sitaona tofauti yoyote, ikitoke scenario kwamba wanagombaia hawa wawili nitampigia! sababu ,kwanza wote ni sawa pili hulka yangu napenda mtu akliye muwazi kama ni mwizi ni mwizi na kama ni msafi ni msafi kwani wote hawa wana dawa.
Kitakachofanya nimpigie ni kwamba et least huyu hana miaka 5 kwenye kiti na kufanya nothing hivyo nitajipa moyo labda anaweza kuwa visited by angel!
Amekuwa akitamba kwenye private kuwa atakuwa rais tu hata iweje 2010, which raises more questions kuliko majibu, including anajiamini nini hasa huyu baba?
Kwani mwenyezi Mungu kuna aliowaumba ili wawe viongozi tu na wasiwe waongozwa? Viongozi wenye busara za siasa hunyamaza kimyaa wanapotoka, na kufanya mambo yao kwa siri, huku wakiwaaachia wananchi kuamua ukweli na uongo, lakini baba huyu toka atoke amekuwa kwenye media hata kuliko alipokuwepo kwenye power, kulikoni? Kwani wa kuamua awe kiongozi au asiwe ni nani yeye au sisi wananchi?
Huyu amekatishwa nini hasa anaocholilia kila kukicha na maneno mengi mapya yuanayojaribu kuikwepa ripoti ya Mbunge Mwakyembe, ambayo ameshindwa kuijibu akiwa madarakani, sasa ataweza vipi kuijibu akiwa nje? It is about time mtu mzima amwambie wazi kuwa we do not miss him, na kwamba as a nation wa are just doing fine!
Invisible,
Hata mimi ninaweza kumpigia, kwa nini? kwa sababu sitaona tofauti yoyote, ikitoke scenario kwamba wanagombaia hawa wawili nitampigia! sababu ,kwanza wote ni sawa pili hulka yangu napenda mtu akliye muwazi kama ni mwizi ni mwizi na kama ni msafi ni msafi kwani wote hawa wana dawa.
Kitakachofanya nimpigie ni kwamba et least huyu hana miaka 5 kwenye kiti na kufanya nothing hivyo nitajipa moyo labda anaweza kuwa visited by angel!
Kwa CCM navyo ijua huyu akigombea atashinda kwa kura za tsunami just wait.
Ukweli ni kwamba huyu jamaa hawezi kuteuliwa na CCM,labda haazishe chama chake.
Too late, kishawashika pabaya! Uliza ni vyombo vingapi vya habari kishaweka mkono ndipo ujue kazi ipo, si ndogo...
Mimi nadhani lowassa would be the right candidate for presidency! Huyu wa sasa hakuna kitu na sijawahi kuona mchapakazi kama Lowassa katika CCM nzima. So Lowassa, please go ahead and you can already be cunting one vote from me! I know you were accused unjustiably by the "happy go luck" Mwakyembe and his goons! They had nothing against you except wivu tu kwa jinsi ulivyokuwa makini na mwepesi katika kutekeleza majukumu yako. CCM wanapenda watu wanaoendekeza majungu na si wachapa kazi kama wewe. Waliangalia kibanzi katika jicho lako na kusahau boriti katika macho yao. GO LOWASSA, GO.............You are my man!
ndugu zangu waingereza wana sema "you get what you deserve". Lowasa aliingia kwenye kinyanganyiro mwaka 1995 na akatupwa nje kwa hoja za baba wa taifa zinazohusu tuhuma na harufu ya rushwa! Mwaka 2005 akadandia campaign ya kikwete na akazawadiwa uwaziri mkuu kwa kazi aliyoifanya. Akaboronga kwenye richmond na kuamua kuachia ngazi akilalama sana kuwa ameonewa.
Lowasa ni waziri mkuu peke yake ambaye amekaa kwenye kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi sana. Kama hiyo haitoshi ni waziri mkuu ambaye amejiuzuru kwa mazingara ya kashfa ya kifisadi. Huyu ndio mnasema akichaguliwa na chama chake mtampa kula kana kwamba tanzania yenye watu takribai 40 millioni hakuna mtu mwadilifu wa kuongoza taifa hili. Kama watanzania tulikosea kumchagua rais kikwete (2005) itakuwa upuuzi kurudia makosa na kumchagua lowasa badala yake. Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa.
Ccm ikifanya makosa ya kumpendekeza mtu kama lowasa kugombea urais 2010 au 2015 itakuwa inajichimbia kaburi. Ni bora mtu ukapiga kura ya "protest vote" kuliko kuchagua mtu mwenye udhaifu (politically deficient) mkubwa kama lowasa.ogopeni mtu aliye jeruhiwa maana akirudi atalipa visasi. With a president like lowassa who needs dictators? I am of the strong view that tanzania deserves more than a lowasaa as our future president.
ikitokea akagombea uraisi me nitampa kura yangu.
you don' tell me!
Hata mimi namuunga mkono agombee, tofauti ya fisadi na asiyekuwa fisadi mimi siioni.
Ndugu zangu waingereza wana sema "you get what you deserve". Lowasa aliingia kwenye kinyanganyiro mwaka 1995 na akatupwa nje kwa hoja za baba wa Taifa zinazohusu tuhuma na harufu ya rushwa! Mwaka 2005 akadandia campaign ya Kikwete na akazawadiwa uwaziri mkuu kwa kazi aliyoifanya. Akaboronga kwenye Richmond na kuamua kuachia ngazi akilalama sana kuwa ameonewa.
Lowasa ni waziri mkuu peke yake ambaye amekaa kwenye kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi sana. Kama hiyo haitoshi ni Waziri Mkuu ambaye amejiuzuru kwa mazingara ya kashfa ya kifisadi. Huyu ndio mnasema akichaguliwa na chama chake mtampa kula kana kwamba Tanzania yenye watu takribai 40 millioni hakuna mtu mwadilifu wa kuongoza taifa hili. Kama watanzania tulikosea kumchagua Rais Kikwete (2005) itakuwa upuuzi kurudia makosa na kumchagua Lowasa badala yake. Kosa sio kutenda kosa bali kurudia kosa.
CCM ikifanya makosa ya kumpendekeza mtu kama Lowasa kugombea urais 2010 au 2015 itakuwa inajichimbia kaburi. Ni bora mtu ukapiga kura ya "protest vote" kuliko kuchagua mtu mwenye udhaifu (politically deficient) mkubwa kama Lowasa.Ogopeni mtu aliye jeruhiwa maana akirudi atalipa visasi. With a President like Lowassa who needs dictators? I am of the strong view that Tanzania deserves more than a Lowasaa as our future president.