Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Mkuu sio Mandela tu alisema hayo, hata Nyerere Pia.
Movement we need to put words into action, tuwe na action Plan na tuanze kuimplement mara moja! Wazo la movement ndio wazo la kulipa kipaumbele.
Nakushauri usome Steve Biko " I write what I Like" na Vitabu vya Taylor Branch 1. Parting the Waters, 2. Pillar of the Fire 3. At Canaan's Edge. These books have changed my Life and they have streghthened my belief on a real movement must impower and involve the community afflicted at large. Let us start Now!
Mkuu nakupa TANO !
Mtandao wa Rostam, Karamagi na Lowassa umeanzisha magazeti mapya manne: NYUNDO, MTANDAO, UMMA na TAIFA kwa lengo la kuwasafisha mafisadi hao na kumtisha Kikwete aone kuwa Urais wake uko hatarini kuporwa na kundi linalopigana kufa na kupona dhidi ya ufisadi Serikalini. Magazeti hayo mapya manne yanaungana na magazeti yao mengine manne ya RAI, MTANZANIA, TAZAMA na ASUMIN kuendeleza mkakati huo wa kumfanya Lowassa Rais mwaka 2010. Wanaposema 2015 ni geresha tu, danganya toto. Tayari kikao chao cha KALOKIRO kimemteua Lau Masha kugombea Urais ikiwa kazi ya kumsafisha Lowassa itashindikana kufikia mwaka 2010.
Jopo kubwa la wandishi mamluki, likiongozwa na Prince Bagenda,Charles Charles, Deodatus Balile, Mhingo Rweyemamu na Manyere Jackton, linayaendesha magazeti hayo kwa malipo makubwa. Lazaros
Nina mashaka na Attachment za Kolokiro waungwana, nway midhari zipo jamvini ngoja tuzisome tu.
hizo minutes zako ni za uongo mkubwa kwa sababu zifuatazo......kwanza ni kuwa tarehe 10/05/08 hicho kikao kilifanyika wapi?mimi najua tarehe hio mh Rostam alikuwa yuko ziara nzega, mh lowasa alikuwa yuko UK,mh Masha alikuwa kanda ya ziwa kwa ile ziara ya siku tatu.mh nchimbi alikuwa yuko ktk kikao cha mawaziri wa ulinzi wa sadec kilifanyika Angola.wana JF,nimefanikiwa kupata baadhi ya minute za vikao vya KALOKIRO,hi itatusaidia kuwaelewa hawa mafisadi vizuri zaidi.
angalia attachements
Nakubaliana na wewe 100 per cent. Uandishi wa magazeti haya ni wa kitoto, haufichi maslahi ya wazi ya mafisadi hao. Lakini, kama Mbunge mmoja alivyosema hivi karibuni, Watanzania si mabwege wa kuendelea kuchezewa na wajinga wachahche waliolewa kwa utajiri wa kupora. Hivi Lowassa kweli anadhani anaweza siku moja kuwa Rais wa Tanzania, Karamagi Waziri Mkuu na Rostam Waziri wa Fedha? Wajaribu tuwashikishe adabu.
hizo minutes zako ni za uongo mkubwa kwa sababu zifuatazo......kwanza ni kuwa tarehe 10/05/08 hicho kikao kilifanyika wapi?mimi najua tarehe hio mh Rostam alikuwa yuko ziara nzega, mh lowasa alikuwa yuko UK,mh Masha alikuwa kanda ya ziwa kwa ile ziara ya siku tatu.mh nchimbi alikuwa yuko ktk kikao cha mawaziri wa ulinzi wa sadec kilifanyika Angola.
Pili hakuna namna unaweza kusema kuwa mzee wasira anaweza kuwapinga kina Rostam.huo ujanja hana kwa kuwa ana thamini urafiki wao.Pia huwezi kuwaunganisha pamoja Wasira na Sita.si kweli ni marafiki ata kidogo.
Mwisho ni kuwa ata siku noja hawa jamaa wakikaa huwa hawaandiki andiki minutes, kama hawakuwa wakiandika wakati wa kikao cha mtandao wataandika now?...pia hakuna kikao kama hicho hayo ni mambo ya watu wajinga ambao hawana mkakati wowote wenye ushindi....unapomuongelea Rostam ujue unaongelea kichwa chenye akili mara kumi ya vichmwa vyenu wote hapa jamii forums
Nakubaliana na wewe 100 per cent. Uandishi wa magazeti haya ni wa kitoto, haufichi maslahi ya wazi ya mafisadi hao. Lakini, kama Mbunge mmoja alivyosema hivi karibuni, Watanzania si mabwege wa kuendelea kuchezewa na wajinga wachahche waliolewa kwa utajiri wa kupora. Hivi Lowassa kweli anadhani anaweza siku moja kuwa Rais wa Tanzania, Karamagi Waziri Mkuu na Rostam Waziri wa Fedha? Wajaribu tuwashikishe adabu.
Wana JF..........je Mnamkumbuka Badra Masoud...endeleeni kuunganisha dots.......chekini sasa hivi yuko wapi
wana JF,nimefanikiwa kupata baadhi ya minute za vikao vya KALOKIRO,hi itatusaidia kuwaelewa hawa mafisadi vizuri zaidi.
angalia attachements
Nina mashaka na Attachment za Kolokiro waungwana, nway midhari zipo jamvini ngoja tuzisome tu.
Utawajua tu watu wanaolipwa na mafisadi, shame, shame shame!
Kwani maisha ni mpaka uwe kiongozi?. Kwanini wasifanye kazi nyingine kama watu wengine?. Kuna kitu gani hasa wanatafuta katika huo uongozi?.
Wana JF nani anaweza kunipa namba za simu za watu hao (Karamagi, Rostam na Lowassa) ili niwapigie na kuwaeleza ukweli?. Wasijione miungu watu hata kidogo.