Mwamikili
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 417
- 139
usiwe mpumbavu kam nyumbu au farasi
ww ndio wale wakaka dada
usiwe mpumbavu kam nyumbu au farasi
ww ndio wale wakaka dada
Usiwe kama sio shogga
labbda baba ako! mkeo je
Kama anavyokufanya babu yako
kafi.. mbali huko
Kufa kwanza wew kwa presha kabla lowassa hajaingia madarakni
tutaona xaxa
Duh wenye akili timamu hawatumii izo xxx zako labda umesahau hapa sio facebook
tutaona xaxa
Sio facebook hapa
viroba je
Nenda fb humu sio mahal pako
Nimekuwa nikiona nguvu kubwa inayotumika hasa na vyombo vya habari kumfagilia lakini katika siku hizi mbili naona kama kanunua haka ka channel kanaitwa Channel Ten. Kwanini anatumia nguvu kubwa hivi? Jana usiku kukawa na kipindi maalum cha yule mzee fisadi wa stand ya Ubungo, leo from nowhere eti kukatwa kwa Lowassa kumekuwa mjadala! Shame on You Lowassa
Hivi unavyoropoka una ushahidi, mbona Akili Za watu wengine Ni Kama wamepakaziwa?! Mtu anaropoka una ushahidi gani, Mara kahonga wadhamini 870,000 we umetoa wapi ushahidi ..!Nilishawahi kusemea jambo hili la kununuliwa kwa baadhi ya stations za luninga na huyu mheshimiwa