evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
rais wa wanaojielewa,..minority
Hao M.8 ni waliopata nafasi ya kumpigia kura lakini wanaomsaponi na zaidi ya hao uliwatajaWanaomsapoti MAGUFULI ni m.8 na sio 42.
Hizo kauli za kitoto sanaa...Bado anatumia kodi zetu alizoiba
It is a question of time. Msije mkaanza kusema anaonewa. Au kwa nini wengine wameachwa!Hizo kauli za kitoto sanaa...
DPP na DCI wapo na ni wenzenu ktk hii Govt!!!
roho ya kimasikini inakuandama sana..poleeBado anatumia kodi zetu alizoiba
Wanaomsapoti MAGUFULI ni m.8 na sio 42.
Hv ni asilimia ngp? ya watuhumiwa wa uhalifu wanaopelekwa ktk vyombo vya haki ili haki ipatikane...!!!It is a question of time. Msije mkaanza kusema anaonewa. Au kwa nini wengine wameachwa!
Mahakama ya mafisadi itaanza na kubwa lao LowassaHv ni asilimia ngp? ya watuhumiwa wa uhalifu wanaopelekwa ktk vyombo vya haki ili haki ipatikane...!!!
Mkuu usimshangae sana huyo lizabon ndo tabia za watu wa songea, wanapenda sana, Majungu kuliko maendeleo na ndiyo mana wanapewa nyadhifa kubwa kubwa, kwasababu yamekaa kama majoka ya kibsa, Ivi ushawai ona topic ya lizabon inayozungumzia Ukiukwaji wa uchimbaji wa URANIAM Namtumbo au Makaa ya Mawe yanayochimbwa na kubebwa kila leo na kuwaachia wananch madhara makubwa ya kiafya kutokana uchimbaji wa wawekezaji?Nyota ya huyu mtu kila mtu ataitamani, hata Lizaboni kila akilala anatamani ndiyo maana kila kukicha yeye anaandika tu habari za huyu jamaa kutafuta nyota yake.
huwez kuzungumzia richmond ukamtoa msoga pia,....
na ikishughulikiwa hiyo na escrow pia lazma ihusike na zote vasco msoga yupo100%
Tatizo ninaliona kwako ni chuki binafsi kwake....Mahakama ya mafisadi itaanza na kubwa lao Lowassa
Ooh! Mala costumbreHijo de puta.
mil 8 za kuchakachua nchi hii chama cha majipu huwa kinapoteza. usidanganyike wala kujisumbua kufikilia eti ni mil 8 utapeli tupu ona Zanzibar kila year ni utapeli sembuse huku bara. yaani huku kuwa yanakuwa makini sana uchakachuzi unafanyika mapemaHao M.8 ni waliopata nafasi ya kumpigia kura lakini wanaomsaponi na zaidi ya hao uliwataja