Lowassa anaishi kama rais nje ya Ikulu

Lowassa anaishi kama rais nje ya Ikulu

Muulize Mzee wa Msoga. Manyumbu wa CCM kweli watamkumbuka daima
weee acha tu mwaka jana wakati wa kampeni baadhi ya washabiki wa ccm walimsema saaaana kwamba ni mgonjwa hawezi kuishi hata mwezi mmnoja wengine walidiriki kumsema kwamba hawawezi kuruhusu aingie Ikulu kwani Ikulu hakuna bajeti ya mazishi leo hii walonena hivo wao ndio wamekuwa maiti ujue uzima wa mwanadamu ipo mikononi mwa Mungu mwenyewe, na ndivyo ilivyo hata sasa Mzee Lowassa lazima aishi kama Raisi kwani moyo wake umejaa hekima, busara, uvumilivu na kusamehe na Mungu atazidi kumweka hai kwa miaka mingi ili aje kuwa Mtawala Mkuu wa Taifa letu hili lililobarikiwa......viva Baba Lowassa bado tupo na wewe na tunazidi kukuombea zaidi maadui zako wazidi kuaibikaaa maccm majitu yasokuwa na soni machoni pao wenyewe!
 
Naomba kuuliza, hivi haya ninayoyasikia sijui majipu sijui nini je na lowassa yumo anahusika au ni majipu ya serikali ya lowassa?
 
Tunashukuru Kwa TAARIFA Hiyo ILA NA SISI WENYE UCHUNGU WA NCHI HII TUNAISHUKURU SANA, MNO NA KUNAKOTUKUKA KWA SERIKALI KUPITIA MAMLAKA ZAKE HUSIKA KUMALIZA KUANDAA MASHITAKA YA MAFISADI WAKUBWA WA NCHI HII NA SASA MAHAKAMA YA MAFISADI INAMALIZIWA HUKU PIA WALE WAPELELEZI WA UINGEREZA WA SFO NA WAO WAKIWA TAYARI WAMESHAKAMILISHA KILA KITU KUHUSU SAKATA ZIMA LA RICHMOND NA MUDA SI MREFU TANZANIA TUTAHESHIMIANA NA WATU HAMTOAMINI MASIKIO NA MACHO YENU YA NINI KITAKACHOTOKEA. NI VIZURI SANA SASA HIVI AKIISHI KAMA RAIS KWANI SOON ATAISHI KAMA YULE WA IVORY COAST. Naomba Niishie Hapa Tafadhali.

Natarajia pia aliyegawia kimada wake nyumba za serekali atakuwa mshtakiwa na bila kuwaacha mzee wa ndugu, mkuu wa ESCROW na yule wa chenji ya rada. Hawa wooooote ni wanachama wenzio kwenye MAJIPU.
 
"]Hata diamond anaishi kama rais

Hata Mdeee anaishi kama rais pale manzese (nje ya ikulu)
 
Kila marefu huwa na ncha,iko siku Mungu akuweke hair ili uje ushuhudie hata kama in utawala wa mabavu,wapi H Mubarak's,wapi Gadaffi.
 
Mbona Unaanza KUOGOPA Na Kutokwa Na MAPOVU Hivi Mkuu? Subiri Kuna DHAHAMA KUBWA INAMUIJIA HUYO MFALME NJOZI WENU Na HAMTOAMINI. Bahati Nzuri Ktk Karatasi Zote Za MASHTAKA Mzee Wa Msoga Vasco Da Gama HAJATAJWA MAHALA POPOTE ISIPOKUWA KARATASI ZOTE Jina La MFALME NJOZI WENU LIPO MARA NYINGI. Mjiandae Tu KUMSINDIKIZA Kwenda MAHAKAMANI Na Mtakuwa Mnaenda Kumpelekea CHAKULA Gerezani. Tutaheshimiana Tu Kwa Miaka Hii Gwala Ya Mwanzo Ya Msubi Magu.
tutajitolea kwenda nae
 
Hao ni vibaraka wa ufipa. wanamliwaza kisaikolojia baada ya kumtapeli mabilion yake na kumuaminisha kwamba anaweza kuiangusha CCM..
CCM ITAKUA MADARAKANI MIAKA 8000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
Dah!kwa hiyo huyo babu atasubiri miaka yote hiyo?! Manake inataka moyo wa mwendawazimu kujituma kusubiri kihivyo.
 
Tunashukuru Kwa TAARIFA Hiyo ILA NA SISI WENYE UCHUNGU WA NCHI HII TUNAISHUKURU SANA, MNO NA KUNAKOTUKUKA KWA SERIKALI KUPITIA MAMLAKA ZAKE HUSIKA KUMALIZA KUANDAA MASHITAKA YA MAFISADI WAKUBWA WA NCHI HII NA SASA MAHAKAMA YA MAFISADI INAMALIZIWA HUKU PIA WALE WAPELELEZI WA UINGEREZA WA SFO NA WAO WAKIWA TAYARI WAMESHAKAMILISHA KILA KITU KUHUSU SAKATA ZIMA LA RICHMOND NA MUDA SI MREFU TANZANIA TUTAHESHIMIANA NA WATU HAMTOAMINI MASIKIO NA MACHO YENU YA NINI KITAKACHOTOKEA. NI VIZURI SANA SASA HIVI AKIISHI KAMA RAIS KWANI SOON ATAISHI KAMA YULE WA IVORY COAST. Naomba Niishie Hapa Tafadhali.
Tumekusoma mkuu!! Ulipotaja S.F.O nimesisimka,manake hao jamaa nao ni "HAPA KAZI TU" hawajui kuremba wala kutazamana sura.
 
Kila mtu anaishi kama rais nyumbani kwake.

Ila huyu jamaa kuishi kama rais wa ukweli ikulu
Ni ndoto ambazo hazitakaa zitokee kamwe I mean milele na milele.
 
Tunashukuru Kwa TAARIFA Hiyo ILA NA SISI WENYE UCHUNGU WA NCHI HII TUNAISHUKURU SANA, MNO NA KUNAKOTUKUKA KWA SERIKALI KUPITIA MAMLAKA ZAKE HUSIKA KUMALIZA KUANDAA MASHITAKA YA MAFISADI WAKUBWA WA NCHI HII NA SASA MAHAKAMA YA MAFISADI INAMALIZIWA HUKU PIA WALE WAPELELEZI WA UINGEREZA WA SFO NA WAO WAKIWA TAYARI WAMESHAKAMILISHA KILA KITU KUHUSU SAKATA ZIMA LA RICHMOND NA MUDA SI MREFU TANZANIA TUTAHESHIMIANA NA WATU HAMTOAMINI MASIKIO NA MACHO YENU YA NINI KITAKACHOTOKEA. NI VIZURI SANA SASA HIVI AKIISHI KAMA RAIS KWANI SOON ATAISHI KAMA YULE WA IVORY COAST. Naomba Niishie Hapa Tafadhali.
Kwa hiyo tutashuhudia "mafuriko" ya kusindikizana kwa PILATO? Nayo yatapambwa na deko na mahaba?
 
Gwajima anaendelea kuishi kama jambazi kanisani
 
Tunashukuru Kwa TAARIFA Hiyo ILA NA SISI WENYE UCHUNGU WA NCHI HII TUNAISHUKURU SANA, MNO NA KUNAKOTUKUKA KWA SERIKALI KUPITIA MAMLAKA ZAKE HUSIKA KUMALIZA KUANDAA MASHITAKA YA MAFISADI WAKUBWA WA NCHI HII NA SASA MAHAKAMA YA MAFISADI INAMALIZIWA HUKU PIA WALE WAPELELEZI WA UINGEREZA WA SFO NA WAO WAKIWA TAYARI WAMESHAKAMILISHA KILA KITU KUHUSU SAKATA ZIMA LA RICHMOND NA MUDA SI MREFU TANZANIA TUTAHESHIMIANA NA WATU HAMTOAMINI MASIKIO NA MACHO YENU YA NINI KITAKACHOTOKEA. NI VIZURI SANA SASA HIVI AKIISHI KAMA RAIS KWANI SOON ATAISHI KAMA YULE WA IVORY COAST. Naomba Niishie Hapa Tafadhali.
Aliyegundua mmea wa Bangi anastahiki adhabu kali sana!
 
huwez kuzungumzia richmond ukamtoa msoga pia,....
na ikishughulikiwa hiyo na escrow pia lazma ihusike na zote vasco msoga yupo100%
Kwahiyo unakubali kuwa Lowasa kaiba sana hela za watanzanis akishirikiana na huyo unayemsema kuwa ni Msoga?
Kumbe inaruhusiwa kuwafisadi watanzania provided kuna mtu kashirikiana naye?
Yaani we roho yako itatulia ukisikia kuwa na mzee wa Msoga yuko huko?
Inatakiwa usimamie kodi zako kwa yyte aliyehusika bila kujali ni ccm au wa chama chochote.....
 
Back
Top Bottom