iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 774
- 474
Believe Me or Not, Lowassa ni Untouchable, ukimgusa yeye unaivuruga ccm yote, ukimgusa yeye Kikwete hana pa kuficha uso wake, ukimgusa yeye Ukawa Itakujia juu na kukunyofoa Macho.. Wakati mwingine oneni watu ni maboya ila sio Lowassa, kajipanga tangu Day One. Mpaka sasa hajashatakiwa kuwa ni mkwepa Kodi, Mhujumu uchumi, wala hajafilisiwa chochote...
Malizeni Escrow, watajeni wale wa Stanbic walibeba pesa na Mafuso ndo mje kwenye visa visivyo na tija kama hii ya Lowassa...
My take;
Lowassa huwezi kumtisha kwa mahakama ya Ki ÇCM. Anaijua ÇCM zaidi ya Nape na January, hata Zaidi ya Magufuli..... 2008 mpaka Leo, hajaitwa mahakamani kwa sababu hana hatia yoyote..