Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Tayari dalili za kwa nini fulani kaachwa ndiyo hizo. Yeye kasema apelekwe mahakamani kuthibhitisha wizi wake. Tusubiri apelekwe tupate jibu la kudumu. Mbona akina Mramba na Yona wanatumikia kifungo?Yaani waache walionunua kivuko kwa billion 8 ? Wakati bei harisi ni million 400 tu, waachwe wa Escrow? Waachwe wa mabehewa mabomu? Waachwe waliouza nyumba za Serikali?waachwe waliopora mali na pesa za marehemu Gadafi? Waachwe waliotafuna chenji ya Rada, chenji za mchakato wa bunge la Katiba, chenji rasimu ya Katiba, mikataba ya Gesi, madini na Wizi mwingineo mwingi sana.