Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Mufindi mnaogopa nini akiwa Rais huyu ndg? Wacha propaganda nyeusi hapa....ni nani zaidi ya Edward Lowassa ndani ya CCM yetu? hebu tuwe wakweli tuweke mipango binafsi kando
Lowassa atosha
Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!! Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha tunataka kwenda mbele
Uswahiba wake na Rost-hamu unatia shakaWatu wenye IQ kubwa kama Lowasa hupima mafanikio kabla ya kufanya kitu , hii ndiyo sababu Lowasa hajaongea pale bungeni kwani hata angeongea asingebadili chochote. Na utaona kua hao unaowajua kua wanaongea sana hawakubadili chochote , ni sawa tu na wangekaa kimya!
Lowasa anajua kua ili kumaliza kabisa ufisadi lazima asimamie kutokea Ikulu , kwa kuchukua hatua madhubuti zinazohitajika.
BigUp Mh. Lowassa!
Na wewe Mzee upo Timu mafisadi?Anaenda kuwatumikia waTanzania wanaohitaji Tumaini Jipya.
Tunaianza Safari ya Matumaini.
Mkuu, Lowasa hawezi kuwakemea mafisadi kwa sababu na yeye ni mmoja wao. Hayo madudu wanayofanya akina Chenge ni kwa lengo la kumtumikiamLowasaHebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!! Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha tunataka kwenda mbele
lowasa wakikutoaa ccm njoo act wazarendo
Hakuna wa kumzuia
Mufindi mnaogopa nini akiwa Rais huyu ndg? Wacha propaganda nyeusi hapa....ni nani zaidi ya Edward Lowassa ndani ya CCM yetu? hebu tuwe wakweli tuweke mipango binafsi kando
Lowassa atosha
Anaenda kuwatumikia waTanzania wanaohitaji Tumaini Jipya.
Tunaianza Safari ya Matumaini.[
/QUOTE]
Kumbe mnamwogopa kwasababu mlitumia madaraka vibaya sasa tunasema lowassa ndie mkombozi wa wanyonge hakuna wakupinga
Ila jamani Tanzania kuwa na Lowassa ni janga la Taifa
Mkuu, Lowasa hawezi kuwakemea mafisadi kwa sababu na yeye ni mmoja wao. Hayo madudu wanayofanya akina Chenge ni kwa lengo la kumtumikiamLowasa
Kumbe anataka kuwa Rais wa Mufindi, hapo sawa...Ila km ni Rais wa Tanzania basi hafai kabisa!