Lowassa amjibu Nape

Lowassa amjibu Nape

9k=

ChiChiEm ni ukoo wa kambale, baba ana sharubu na mtoto anasharubu...
 
lowasa amemshangaa nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha chama?

Lowasa amesema ccm anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!

Source: Itv habari kwa saa!

wote tumemshangaa including myself,amelipuka sana
 
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?

Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!

Source: ITV habari kwa saa!

Yeye anayo yafanya hayo yametokana na kikao gani cha chama?.
 
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?

Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!

Source: ITV habari kwa saa!

Tatizo Nape ana utapia mlo wa akili mwacheni aendelee na uropokaji.
 
Kuna kelele zikipigwa sana hapo nyuma kuhusu ombwe la uongozi, nilizipuuzia sana lakini na anza kupata mashaka kama kuna ka ukweli fulani hivi. Na inawezekana huyu mh anajui hii siri ya ombwe na ndio anafanya haya ayafanyayo hakuna wa kumfanya kitu nchi hii kaiweka kiganjani kwake, si mfukoni huko ni mbali.
 
Lowasa amemshangaa Nape kwa kutoa matamko bila vikao vya chama! Amehoji kauli anazotoa zimetokana na kikao kipi cha Chama?

Lowasa amesema CCM anayoifahamu yeye mambo yote hujadiliwa na kuamuliwa na vikao vya chama!

Source: ITV habari kwa saa!

Naanza kuhisi Nape ataingia matatani kwa sababu ya Chuki zake dhidi ya Lowassa!! Wenzetu wanasema "When the need is too hgh; logic suffers!" anaweza kuwa sahihi lakini kwa style anayotumia hana tofauti na wanaokwenda kumuomba EL agombee kwa sababu nayeye anaonyesha wazi ame_declare interest; kwa maana ya kwamba hamtaki EL ana mtu wake mwingine! Sijui; just thinking aloud!!
 
Kauli ya Nape ni kauli ya Jk.

Lowassa jiandae kuenguliwa.Hivyo vikao unavyoongelea vikikaa kazi ni moja tu nayo ni kuhakikisha unapigwa chini.

Hata hivyo,hii ni laana ili tu CCM iangamie kupitia Lowassa na Kikwete.

Hata Mungu amewachoka na this time lazima msambaratike kama sio kuhujumiana.

Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani.

Mmetutendea uovu mwingi watanzania na sasa mungu kasema yatosha.

Mnara wa babeli unakaribi kuanguka.

Ndugu SS kwani hujui JK haaminiki na ni ndumila kuwili wa hali ya juu sana?
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!..

kwanini hayuko na awe ''natural''...?
 
Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!

NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..

naona unajitia vidole mwenyewe na kukatika mwenyewe(vidole vya macho)
 
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,

kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,

Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.
Kumbe na wewe ni mjinga vilevile,Nape anapaswa kueleza matamko ya vikao,aina maana kwa kuwa yeye ni msemaji wa chama basi anaweza kusema chochote anachofikiria!
 
Huku ni kupima akili za watu Lowassa hata akitimliwa itakuwa ni haki yake kabisa.

Kumbe utaratibu wa chama ana ufahamu kwanini amegeuka na kuwa kinara wa kuvunja utaratibu wa chama?.

Haya anyo yafanya pamoja na kuonywa lakini bado ameng'ang'ana nayo,hataki kuacha wakati ana jua kabisa kuwa hakuna kikao chochote cha chama kilichokaa na kuidhinisha haya anayo yafanya.

Mambo ya kimgeukia asije akamlilia mtu yeyote,na hii ni ishara mbaya kwa Lowassa kuwa siku zake za kisiasa zinaelekea ukingoni.
 
Mwisho wa Lowasa umefika rasmi , hata hivyo ccm wamechelewa sana kumfukuza huyu jamaa , japo hiyo haiwezi kuwaokoa na moto wa UKAWA hapo octoba .
 
lowasa afukuzwe tu kwenye chama kwan ana umuhimu gan hafai mtu mwenye mitandao ya ovyo
 
dah naona saivi ni piga nikupige!

"low hasa" mambo ya kukaa kimya hataki tena!
 
Back
Top Bottom