Lowasa hana busara. Kama ilivyo kwa mshenga Gwajima.
kumbuka ccm ni mfumo, huwezi kufanya mambo tu kwa kujiamulia,"wanasema when ur in Roma, do like romans"so huenda kuna vitu vingi alitamani kuvifanya vizur ila tatizo ni mfumo mbaya wa ccm, wenyewe wanasema kila ukitaka kuufanya kitu wamekuzunguka, wachache mnasapoti ccm ila ukweli mnao kwenye mioyo yenu, madini anauzwa tu hakuna agenda ya nchi kama nchi kuwa rasilimali zetu zitatumika kwa mpangilio flani, watu wanajichimbia tu mmadini na kukimbia nayo, na nyie bila aibu mnawasapoti
mkuu; hii lugha ya wenyewe achana nayo kabisa. Tumia tu kiswahili!Lowasa very wisdom hana papala angekuwa nape tayari angekuwa star tv kutukana God we in general to give us Mr edo as a holy candidate Presidential chosen by Almighty.
Fisadi wenu lowassa ananadiwa na Tambwe Hiza na Mr zero hao ndiyo viongozi wa Chadema?
mkuu; hii lugha ya wenyewe achana nayo kabisa. Tumia tu kiswahili!
hamjitambui, anatumia kutokumfaham kwenu na udhaifu wetu kuwatumia kama daraja la kutimiza yake. Kashakwambia akishinda yy atashugurika na mama lishe na bodaboda je na ww mama lishe au bodaboda? Huyu mtu tapeli hana maono ya kulifikisha taifa hili ktk maendeleo endelevu, akataliwe kwa njia yoyote ile
Hizi ndizo akili zinazosema CCM haijafanya lolote.kumbuka ccm ni mfumo, huwezi kufanya mambo tu kwa kujiamulia,"wanasema when ur in Roma, do like romans"so huenda kuna vitu vingi alitamani kuvifanya vizur ila tatizo ni mfumo mbaya wa ccm, wenyewe wanasema kila ukitaka kuufanya kitu wamekuzunguka, wachache mnasapoti ccm ila ukweli mnao kwenye mioyo yenu, madini anauzwa tu hakuna agenda ya nchi kama nchi kuwa rasilimali zetu zitatumika kwa mpangilio flani, watu wanajichimbia tu mmadini na kukimbia nayo, na nyie bila aibu mnawasapoti
Huyo wa kwenye WHITE LIST kafanya nini?
Pole sana. Ukisema hadharani weka source kwenye hadhara ileile.
mkuu; hii lugha ya wenyewe achana nayo kabisa. Tumia tu kiswahili!
Anabadlika kama kinyonga.Wamarekani na jumuiya ya kimataifa walio katika mapambano na ugaidi wanaelewa kila kitu Kuhusu Lowasa na kuhusu hela za kampeni zake zinatokea wapi.Hawawezi danganyika.Na wanaelewa kwa nini Lowasa alimchukua Duni Haji muumini wa UAMSHO kama mgombea mwenza.
Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.