Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

Anabadlika kama kinyonga.Wamarekani na jumuiya ya kimataifa walio katika mapambano na ugaidi wanaelewa kila kitu Kuhusu Lowasa na kuhusu hela za kampeni zake zinatokea wapi.Hawawezi danganyika.Na wanaelewa kwa nini Lowasa alimchukua Duni Haji muumini wa UAMSHO kama mgombea mwenza.

Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.

Huyo wa kwenye WHITE LIST kafanya nini?
 
hamjitambui, anatumia kutokumfaham kwenu na udhaifu wetu kuwatumia kama daraja la kutimiza yake. Kashakwambia akishinda yy atashugurika na mama lishe na bodaboda je na ww mama lishe au bodaboda? Huyu mtu tapeli hana maono ya kulifikisha taifa hili ktk maendeleo endelevu, akataliwe kwa njia yoyote ile
Hizo ndo sifa na kazi za wanaCCM mkuu muache kusingizia wenzenu.
 
Lowassa kama Mwana pekee wa Mungu..!!!

Hivi Tembo wetu wote, nani anawaua vile...?

SUMAYE: Kinana ndie kinara wa kumaliza Tembo nchini, na ushahidi upo...!!!

Daaah...!!!
 
Nikizingatia watia nia ya urais wote wakiwemo waliokatwa, waliojitoa na waliopita; ni EL pekee ambaye amekuwa na nia ya urais kwa kipindi kirefu (tangu mwaka 1995). Hivyo katika kipindi hiki chote kajifunza mengi kuhusu namna ya kukiishi hicho kiti anachowania, ikiwa ni pamoja na kuwa mtu mwenye uvumilivu, hekima na umakini. Abarikiwe

Mama mdogo umeandika jambo la maana sana!na linahitaji mjadala.
 
hivi huyu mzee amedata nini? Awatoe kwani yeye hakimu?
 
Napenda sana busara ya el!
Busara ndio trademark yake, ni kitu chake yani!

Unapopenda meli lazima umpende na nahodha wake, kwa maana hiyo unapompenda Lowassa usiache kupenda uwizi na ufisadi wake vilevile usichague mambo ya kupenda maana pamoja busara yake lakini vilevile ni jizi na fisadi
 
hamjitambui, anatumia kutokumfaham kwenu na udhaifu wetu kuwatumia kama daraja la kutimiza yake. Kashakwambia akishinda yy atashugurika na mama lishe na bodaboda je na ww mama lishe au bodaboda? Huyu mtu tapeli hana maono ya kulifikisha taifa hili ktk maendeleo endelevu, akataliwe kwa njia yoyote ile
Ni kweli ndugu wewe unatumiwa na ccm na magufuli wao kwa kuwa unajitambua,sasa sisi tutajitambuaje wakati ccm na serikali yake wametunyima elimu bora,tutajitambuaje wakati tumepigika na ugumu wa maisha uliosababishwa na sera nzuri za ccm,tutajitambuaje wakati watoto wetu wamenyimwa elimu.tutajitambuaje wakati 80% ya watanzania tukiishi kwa chini ya dola moja kwa siku.Heri ninyi mnaojitambua endeleeni na ccm yenu,acha ccm tuendelee kutumika,Kwani tuna nini cha kupoteza?
 
Wakuu Salaam!

Napenda kunukuu neno kwa neno kadri nilivyosikia Mzee Lowassa akielekeza maneno yake kwa Mzee Kinana.

"Kuna mtu mmoja mwenye mamlaka kwenye Chama, tena Muislam, akaandika barua kwenye gazeti moja nchini MAREKANI, gazeti maarufu kidogo." Akasema 'LOWASSA ANAPENDA MAGAIDI NA ATAENDELEZA MAGAIDI, na AKICHAGULIWA kuwa RAIS ATALETA UGAIDI NCHINI'.

Lowassa anaendelea...Sasa nataka nirudie majibu yangu kwake na kwa waTanzania...nilisema 'NITAZINGATIA SHERIA KUCHUNGUZA KAMA WALE MA - SHEIKH WAMEONEWA na KAMA TARATIBU ZA KISHERIA ZILIFUATWA na KAMA HAZIJAFUATWA NITAWATOA NJE mara MOJA, sasa NAMRUHUSU HUYO ANAETAKA KUSHTAKI DUNIANI AKASHTAKI KOKOTE, angojee TU NIWE RAIS.

Anaendelea Lowassa...Nchi hii ina AMANI kwa sababu TUNAHESHIMIANA hakuna watu wenye HATIMILIKI wa nchi hii kwamba wanachosema wao ni sawa. Mimi nimesema jamani nitachunguza upungufu wa sheria na nitachukua hatua wala SIOGOPI NG'O. kamaliza

MY TAKE:wiki kazaa zilizopita Mzee KINANA aliandika article katika blog ya The HILL tukasoma, Mzee LOWASSA nae kasoma kisha akakaa kimya lakini jana akiwa Pemba hayo ndio majibu yake! Aksante.

hakuna porojo kwenye hili... ni kawaida yenu kumuosha lowasa kwa madodoki! Alitamka jangwani WAKATOLIKI TULISIKIA NA KUMUELEWA...AKATHIBITISHA YEYE NI NANI TABORA KWENYE KANISA LA WALUTHELI...... LAKINI Pia MSHENGA WAKE na MSHAURI WAKE PIA WA KIROHO, MZEE wa Misukule ametamka mara kadhaa alivyokuwa na hamu ya kuangamiza UISLAM TANZANIA..... Kwa hili hampundiki na ni neno linalosambaa kwa kasi kwenye jamii husika.... Tunataka serikali itakayoleta AMANI AMANI AMANI lowasa si mtu wa AMANI...angalia jamii ya watu wake wa karibu!!!
 
Unapopenda meli lazima umpende na nahodha wake, kwa maana hiyo unapompenda Lowassa usiache kupenda uwizi na ufisadi wake vilevile usichague mambo ya kupenda maana pamoja busara yake lakini vilevile ni jizi na fisadi
Mkuu wezi wapo segerea na magereza mengine nchi,mimi ningekuwa ccm ujinga kama huu ulioandika hapa nisingeufanya maana unaongeza chuki ya wananchi dhidi ya ccm

Fikiria mtu ambaye ndugu yake amefungwa kutokana na wizi wa simu ya mchina,ataiangaliaje ccm na serikali yake akiisoma hii post yako?
 
Kinana haonekani akimkandia Lowassa live kwenye kampeni za ccm kwa sababu anaogopa maovu yake yasije wekwa hadharani...

Anyway; ni ajabu na kweli kuwa katibu mkuu wa ccm amemwachia Bulembo kazi ya kumnadi mgombea wao..!
 
Wenye busara hawa hapa;
Nape
Bulembo
Mwigulu
Lusinde
Msukuma
Kinana
Lodi Lofa
List ni ndefu, lakini hawa ndio vipanga wa busara CCM.

Imagine... hao ktk CCM ndio wana BUSARA....!!!

Wengine CCM wameoza... are DEAD WALKING...!!! HAKIKA...!!!

CCM is DEAD...!!
 
Anabadlika kama kinyonga.Wamarekani na jumuiya ya kimataifa walio katika mapambano na ugaidi wanaelewa kila kitu Kuhusu Lowasa na kuhusu hela za kampeni zake zinatokea wapi.Hawawezi danganyika.Na wanaelewa kwa nini Lowasa alimchukua Duni Haji muumini wa UAMSHO kama mgombea mwenza.

Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.

Source please
 
Kinana haonekani akimkandia Lowassa live kwenye kampeni za ccm kwa sababu anaogopa maovu yake yasije wekwa hadharani...

Anyway; ni ajabu na kweli kuwa katibu mkuu wa ccm amemwachia Bulembo kazi ya kumnadi mgombea wao..!

Fisadi wenu lowassa ananadiwa na Tambwe Hiza na Mr zero hao ndiyo viongozi wa Chadema?
 
Anajisumbua waislam hakuwatetea mashekhe yuko ccm waislam tunajua nini tutafanya hata aseme atatujengea chuo kikuu cha waislam hatukupi ng'o

haa haa sema wewe na sio sisi. kiujumla ccm haijawatendea haki waislamu kamwe....hasa suala la sheikh ponda...
 
Anabadlika kama kinyonga.Wamarekani na jumuiya ya kimataifa walio katika mapambano na ugaidi wanaelewa kila kitu Kuhusu Lowasa na kuhusu hela za kampeni zake zinatokea wapi.Hawawezi danganyika.Na wanaelewa kwa nini Lowasa alimchukua Duni Haji muumini wa UAMSHO kama mgombea mwenza.

Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.
Tunaomchagua lowassa awe raisi wetu ni sisi watanzania na sio jumuiya ya kimataifa. Uhuru alikuwa na kesi icc lakini wakenya walimchagua
 
Back
Top Bottom