Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

Hivi lowasa una akiri kiasi gani? Yaani una akiri mpaka ccm wanashindwa kukuelewa??
Ona sasa mpangilio wa maneno, hukurupuki, ukisema neno unalisema sehemu husika yaan lowasa mm unaniacha hoi kweli mengi nimejifunza kwako
 
Hivi lowasa una akiri kiasi gani? Yaani una akiri mpaka ccm wanashindwa kukuelewa??
Ona sasa mpangilio wa maneno, hukurupuki, ukisema neno unalisema sehemu husika yaan lowasa mm unaniacha hoi kweli mengi nimejifunza kwako

Mahaba niue
 
Lowasa very wisdom hana papala angekuwa nape tayari angekuwa star tv kutukana God we in general to give us Mr edo as a holy candidate Presidential chosen by Almighty.
duh hivi English teacher wako alikua Edo???
 
Nimeshindwa kuiweka hapa....

Nenda Google na tafuta
gwajima na mahakama ya kadhi audio video.... itakuja habari yenye video..

Pole sana. Ukisema hadharani weka source kwenye hadhara ileile.
 
Busara zake ziendelee kumuongoza.
Kuwapuuza wanaomrushia maneno mabaya ndo ushindi kisiasa kwako
 
Mungu ananena kupitia Lowassa...!!!

Ni Mungu tu...!!!

Ni Neema ya Mungu kwa Watanzania, kupitia Lowassa.... mashetani yanakufa na kupoteana, wengine wamejazwa matusi na maneno machafu midomoni ili muwajue.... Ni Mungu tu anatenda kazi yake...!!!

Mungu baba, tukomboe...!!! kupitia Lowassa, Ukawa...!!!


Amen....!!!!
 
wito wangu kwa jaji lubuva, chonde chonde jaji, usije ukathubutu kuruhusu uchakachuaje wwte wa matokeo, roho za watanzania wengi zitakulilia, angalia historia ya tz isijekukuandika vibaya.hiki kinachotokea watz wamekisubir kwa zaid ya miaka 20.tumia hata dakika 30 ujifungie chumbn kwako ujitafakari.kama tunavyoamini wengi wetu, kuna maisha mengne baada ya maisha ya duniani.
 
Huku zenji wanasema kuwa wale wanaosema Lowasa hasafishiki taarifa ni kwamba kadri siku zinavyoenda si anazidi kuwa msafi tu bali anang'arisha na kupendeza mioyoni mwao!
 
Yawezekana uliyo post yakawa kweli kuhusu huyo mzee! Lakini amekuwa madarakani kwenye Serikali ya CCM kwa kipindi kirefu, labda utuchambulie kafanya nini kwa kila eneo ulilolitaja. La ni mhemko tu wako wa kisiasa. Au kwa kuwa kahama CCM, ghafla Mwenyezi Mungu kamshushia hiyo level ya kisiasa!

TAFAKARI CHUKUA HATUA

kumbuka ccm ni mfumo, huwezi kufanya mambo tu kwa kujiamulia,"wanasema when ur in Roma, do like romans"so huenda kuna vitu vingi alitamani kuvifanya vizur ila tatizo ni mfumo mbaya wa ccm, wenyewe wanasema kila ukitaka kuufanya kitu wamekuzunguka, wachache mnasapoti ccm ila ukweli mnao kwenye mioyo yenu, madini anauzwa tu hakuna agenda ya nchi kama nchi kuwa rasilimali zetu zitatumika kwa mpangilio flani, watu wanajichimbia tu mmadini na kukimbia nayo, na nyie bila aibu mnawasapoti
 
Subirini kipigo cha Oktoba 25. Hayo mengine sijui ana busara mtayajua wakati huo. Busara hizo kazipata UKAWA?

Unaandika haya huku roho inakusuta, Lowasa ana Hekima sn ukweli utabaki kuwa ukweli
 
Lowassa anyamaze tu kwani mungu anamjibia mdogo mdogo. R.I.P Mtikila.
 
Suala la sheikh farid wa uamsho liko mahakamani anaposema atamwachia hapo anaingilia uhuru wa mahakama. Kuna tatizo gani sheria kuchukua mkondo wake?

Inamaana akiwa rais hakuna haja ya kuwa na mhimili wa mahakama na ofisi ya DPP? Kwani mashauri atakuwa anaamua sebuleni kwake! Utakuwa utawala wa hovyo sana.

Mahakama zipi unazoongelea?
Mahakama zinazowahukumu wahujumu Uchumi waliolisababishia Taifa hasara ya Mabilioni ya Shilingi kifungo cha Miaka miwili Jela halafu wakapunguziwa mpaka mwaka mmoja.
Wakati huo masikini hohehahe toka Misungwi anaejipatia kipato kwa Usanii wake wa kutumia Fisi wa kufugwa anahukumiwa kifungo cha miaka kumi Jela?
Mahakama hizi ambazo Ma jaji wake wanamiliki Kadi za uanachama wa CCM mpaka wanapewa fomu za kugombea Urais?
Acheni hizo bwana.
 
Kwa kweli Tanzania kuna watu malofa sana. Kilio cha kila siku cha mtanzania wa kawaida ni malalamiko dhidi ya rushwa ambayo inawanyima haki mahakamani, rushwa inawanyima huduma mahospitalini, rushwa na ufisadi unatunyima umeme na elimu bora.

Kwa mtanzania mfuatiliaji wa vyombo vya habari mtakumbuka wagombea sita wa ccm waliopewa adhabu sababu ya utoaji rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm na walipewa adhabu ya kutojihusisha na siasa za aina hiyo mwaka mzima. Zaidi ya hapo baadhi yao waliendelea kumwaga rushwa kwa wajumbe wa halmashauri kuu ili wawachague na kuna mgombea mmoja ambae sasa anagombea ubunge alikamatwa na mamilioni ya pesa za kiwahonga wajumbe wa mkutano mkuu. Yote hayo hawa watu wameyasahau? Au wamelogwa? No nao wanashabikia nguvu ya pesa na shibe ya matumbo yao. Mtu fisadi mtoa rushwa hafai kuwa rais hata mkimuua Mch. Mtikila historia itahukumu. Rip Mch. MTIKILA
 
kwani nyie yule fisadi wenu makufuli ananadiwa nakina nani? amezungukwa na wapiga dili tu na walilia vyeo. hana jipya....

Ananadiwa na makada halisi wa ccm na si hao wachumia tumbo wenzie aliotoka nao ccm au ndiyo maneno ya Mr zero kuwa amekuja huko UKAWA kwenu kuja kuwasaidia kuongoza maana hamna viongozi wenye sifa za kuongoza.
 
hamjitambui, anatumia kutokumfaham kwenu na udhaifu wetu kuwatumia kama daraja la kutimiza yake. Kashakwambia akishinda yy atashugurika na mama lishe na bodaboda je na ww mama lishe au bodaboda? Huyu mtu tapeli hana maono ya kulifikisha taifa hili ktk maendeleo endelevu, akataliwe kwa njia yoyote ile
Kichwa chako hakipo sawasawa..rudi facebook!
 
Back
Top Bottom