cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
huyu mzee jamani..au ndo katumwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania..
alaf tizama wale wote wanaomtukana wanatangulia mbele za haki
This man is so WISE ENOUGN TO LEAD OUR NATION
Lowassa anahekima sana. Ingekuwa magifuli hapo angesha kurupuka na kumwambia mwigulu atukane
Wakae wakijua ya kwamba watanzania sasa sio finyu kimawazo wawe wanapotosha kila linalo semwa hatutawafuata kamwe
EL mtu wa watu. atatuvusha salama kutoka kwenye lindi la umasikini.✌✌
Ukweli tu ambao utabaki milele,Lowassa ni mtu mwenye busara ya juu na uungwana kuliko kiongozi yoyote baada ya Nyerere kutangulia!!!
Hivi maneno ya kipuuzi na hovyo angekuwa anaambiwa Kikwete ingekuwaje?! Membe je?! Magufuli je?! Nepi Nayule je?!!
Kura yangu kwa Lowassa,time for changes!!!
lowasa ni hatari sana. huyu mtu level ya siasa yake si tanzania basi tu. vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu mzee
1. Ujasiriamali
2. Siasa
3. Heshima
4. Mahusiano(kwa nje)
5. Organization( organizer)
6. Kutokata tamaa
7. Busara na kutokurupuka
8. Kujua unachotaka and stick on it.
Ni mengi ya kujifunza kutoka kwa lowasa.
Nikizingatia watia nia ya urais wote wakiwemo waliokatwa, waliojitoa na waliopita; ni EL pekee ambaye amekuwa na nia ya urais kwa kipindi kirefu (tangu mwaka 1995). Hivyo katika kipindi hiki chote kajifunza mengi kuhusu namna ya kukiishi hicho kiti anachowania, ikiwa ni pamoja na kuwa mtu mwenye uvumilivu, hekima na umakini. Abarikiwe
Lowasa very wisdom hana papala angekuwa nape tayari angekuwa star tv kutukana God we in general to give us Mr edo as a holy candidate Presidential chosen by Almighty.
Nazidi kumpenda Lowassa,nimejifunza mengi sana kutoka kwake.
Ukimya wake ni jibu la mtu mwenye hekma,na ndio maana nitampa kura yangu Insha'Allah.
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu.
Lowasa,inavyoonyesha nikuwa alilelewa vizuri na wazazi wake,ana subira,anjipa muda wa kutafakari kisha akitoa jibu linakuwa fupi na linaloeleweka.sio magufuli bingwa wa kukurupuka,kutafuta sifa,inazungumziwa afya,anakimbilia kupiga pushap na wajinga wanamchekea,afya hujulikana kwa kutumia vipimo vya kisayansi
alipo tupo
Kila nikimuwazia Lowassa sipati jibu,zaidi natamani kila mtu awe kama mimi.
Yaani tumchague ashinde kwa kishindo...naiona Tanzania mpya chini ya Lowassa.
Lowssa.Tanzania mpya inakuja
Huyu ndiyo raisi mtu mtulivu. Ya nini kumchaguwa mtu wa kulipukalipuka kama stove ya mchina?? Hahahaha
huyu mzee hakurupuki kama wa upande ule,kule wana mihemko haoo nheee!!
Kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupenda Lowassa.Wamemutukana sana,lakini eddo yuko kimya.Kura yangu kwa Lowassa
Lowassa ni kama musa aliyetumwa na mwenyezi mungu kuwakomboa wana wa israel (watanzania) utumwani.
SAA ya ukombozi ni sasa.
Badilika ewe mtanzania.
Chukua hatua.
CCM out.!