Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

hamjitambui, anatumia kutokumfaham kwenu na udhaifu wetu kuwatumia kama daraja la kutimiza yake. Kashakwambia akishinda yy atashugurika na mama lishe na bodaboda je na ww mama lishe au bodaboda? Huyu mtu tapeli hana maono ya kulifikisha taifa hili ktk maendeleo endelevu, akataliwe kwa njia yoyote ile

Kwasababu wewe mchumia tumbo hajataja jina lako basi unajenga chuki...mafuriko hayazuliki kwa mikono #mabadiliko
 
Yawezekana uliyo post yakawa kweli kuhusu huyo mzee! Lakini amekuwa madarakani kwenye Serikali ya CCM kwa kipindi kirefu, labda utuchambulie kafanya nini kwa kila eneo ulilolitaja. La ni mhemko tu wako wa kisiasa. Au kwa kuwa kahama CCM, ghafla Mwenyezi Mungu kamshushia hiyo level ya kisiasa!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Record zake zinajieleza na ubunifu wake upo wazi kabisa. Jitahidi ufanye homework kidogo utaona nliyoyaeleza.
 
Kiufupi kwenye jumuiya ya kimataifa Lowassa yuko kwenye BLACK LIST.
Tuwacheni mawazo ya umatonya. Hata Kama no kweli yupo kwenye black list ya wazungu itatupunguzia nini sisi?

Rasilimali zetu ndio zitakazo tuokoa sio kutembeza bakuli!
 
Lowassa ni Mtu ya Amali. Anaongea na kufanya jambo kwa wakati. Hakurupuki na wala hana makuu. Kind of leader we need today..!!! Mungu ni mwaminifu.
 
ukitaka mitusi na uwongo wa waziwazi nenda ccm nape ni injini ya kutoa mitusi na bulembo ekisosi yake ya kutolea moshi wa mitusi kejeli na dharau. hawajui kuwa mikutano ya kampeni huwa inakuwa in watu tofautitofauti that viongozi wa dini huwa wanakuwepo kusikiliza sera. majinga makubwa hayana sera yamejaa uwongo.
 
nimeelewa kama mleta uzi alivyoleta kuwa kama sheria hazikufuatwa atamwachia huru, sasa kama sheria hazijafuatwa si mahakama itawachia huru na kama watapewa hukumu isiostahili siwatakata rufaa! Tatizo liko wapi hadi rais aamuru waachiwe huru?

da! aisee we ni mgumu kuelewa,,,
polen sana walimu kwa kaz yenu
 
Kila kukicha naomba Lowassa awe raisi kuna kundi la watumishi wa umma {WALIMU} wanatia huruma wanaonewa lakini hawana mtetezi nalia naumia nasikitika halafu CWT nao wasivyo na huruma wanaungana na serikali kuwatesa walimu nasikia wamekopesha serikali inauma mtu anayekutesa unamsaidia? walimu wanadai mishahara wengine tangu wajiriwe hawajalipwa wengine hawajapandishwa madaraja ILA MUNGU YUPO MWAKA HUU ATAJIBU nitampigia kura lowassa atuokoe

huwez amini mdau CWT kwa sasa ndio wanapiga kampen na hao washkaj skul to skul,wanawaandalia vijisemina wale wawakilish wa CWT na kuwapa 'NENO'.maana wanasema 'walim' kwa sasa inaonesha hawana iman na CCM
 
Kinachomwaribulia lowasa ni CV yake tu....laiti CV ya lowasa ingekuwa Safi angeshinda kwa zaidi ya 85% kama ilivyokuwa JK 2005, yote tisa oct 25 kitaeleweka

Mungu ibariki Tanzania

Hivi unaposema CV yake tu maana yake nini?
Mtu mwizi unamzungumzia kwa lugha nyepesi!
Kinachomuharibia ni matendo yake ya wizi wa mali za umma!
 
jangwani alisema atawatoa tu.... jana kabadilika ili apate kura za waislam wengi ambao kitakwimu wapo huko zanzibar... baada ya hao waislam kutokuwa na imani nae pale alipoomba kura kwa kigezo cha udini na ulutheri pale tabora
mtu mzima haipendezi kuwa mwongo na mnafki, jangwani nilikuwepo tena mbele kabisa na Mimi Ni muislamu ila vijana waliokuwa wamekaa mbele ndiyo walikuwa wanabango lililoelezea hisia Yao juu ya hao mashekhe na walisema kwa sauti mzee "ukiingia ikulu tunaomba uchinge case ya mashekhe wetu" lowasa alisema atachunguza case zao kama zimeendeshwa kihalali. Vijana wengine walidakia mzee usimsahau na babu seya, akajibu atachunguza kesi zao. Eeehe niambie tatizo hapo liko wap?? CCM mmekuwa wauaji, watekaji na wabambikia kesi! Allah awalaani
 
Back
Top Bottom