wadau,nakuwa kama vile nashindwa kuelewa huu ushindani nadhani hata wewe ukijaribu kufuatilia utagundua kuwa karib media zote news zinazopewa headlines ni lowasa na UKAWA lakini ukirudi kwa raia wetu ambao wanatumia mda mchache sana kufuatilia media ambao ni raia wa kawaida sana wanamkubali sana magufuli.upande wangu nimejaribu sana kuwashauri kuwa magufuli kiasi fulani anapwaya kuwa rais nimeishiwa kupingwa sana tena sana.ila najua UKAWA wakianza kusambaza sumu najua tutaanza kuwapata kama awali.

Watu waliomsindikiza Magufuli ni wachache sana, wengi wao watakuwa viongozi watiifu kwa CCM. Sio ajabu walilipwa parefu zaidi ya kawaida kwa kuwa walikuwa wachache.Kwa upande wangu naona kama EL kafunika kote kwebye media na mitaani hapa ssiongi ushabiki huo ndo ukweli
Watu waliomsindikiza Magufuli ni wachache sana, wengi wao watakuwa viongozi watiifu kwa CCM. Sio ajabu walilipwa parefu zaidi ya kawaida kwa kuwa walikuwa wachache.
Nyie si mna pesa,endeleeni na media ila ukweli uko palepale ..Sikio halizidi kichwa na nazi haishindani na jiwe hata siku moja
ww unaishi wapi? kila kina ni lowasa huyu makufuli mkafungie mageti huko
Heee! Hivi kumbe hairuhusiwi kutaja majina!mkuu acha kutaja jina utapigwa ban kwa sababu ya name calling
ccm inakiburi kwa sababu ya wanawake wachache wasiojitambua wakiwashabikia.