Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Hatugombei urais, hatuwezi kulidhuru taifa kwa kiasi cha rais,
Tunamwongelea mtu aliyedhamilia kutupiga kodi zetu,
Na hao wawili wanaomshabikia wanamaslahi binafsi,,,, wana urafiki na familia yake.
Ndivyo mlivyo wengi mnaomshabikia, mna maslahi binafsi ,,,
tunaolijua hilo hatuwezi kupoteza kura zetu kwa kumpigia el.
Ccm hamgombei urais???
Ila upo tayari mnapeana tu???
Maslahi binafsi ni kuhakikisha nchi inaongozwa katika misimamo thabiti na siyo kuyumbishana na kupeana kula kila kukicha..
Kukopa mpaka pesa za kuendesha nchi huku mkikimbilia kujenga Bandari na kugawana viwanda na mnaowapa jina wawekezaji.
Hayo ndiyo maslahi binafsi niliyonayo .