Lowassa ameteka media huku Magufuli akiteka raia

Lowassa ameteka media huku Magufuli akiteka raia

chagga land

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
394
Reaction score
95
Wadau,

Nakuwa kama vile nashindwa kuelewa huu ushindani nadhani hata wewe ukijaribu kufuatilia utagundua kuwa karibu media zote news zinazopewa headlines ni Lowassa na UKAWA lakini ukirudi kwa raia wetu ambao wanatumia muda mchache sana kufuatilia media ambao ni raia wa kawaida sana wanamkubali sana Magufuli.

Upande wangu nimejaribu sana kuwashauri kuwa Magufuli kiasi fulani anapwaya kuwa rais nimeishiwa kupingwa sana tena sana.

Najua UKAWA wakianza kusambaza sumu najua tutaanza kuwapata kama awali.
 
Mimi ninaishi na watu ambaosi wa media but marazote wamekuwa wakiongolea Lowasa ukisikia Bwana Pombe ujue makada wa ccm which ni wachache
 
Nyie si mna pesa,endeleeni na media ila ukweli uko palepale ..Sikio halizidi kichwa na nazi haishindani na jiwe hata siku moja
 
Teh teh,naona mkuu unataka kuwauwa magamba na presha,huku kitaani kwetu wala hawajui hata nani anaitwa makofuli,kitaaa ni lowassa na ukawa

Hamuaminiki kama mwenyekiti wenu mbowe leo anasema hiki kesho ànasena kile huku akikausha uso kama koboko ..mmegeuka popo
 
Mimi ninaishi na watu ambaosi wa media but marazote wamekuwa wakiongolea Lowasa ukisikia Bwana Pombe ujue makada wa ccm which ni wachache

inawezekana ikawa hivyo mkuu kutegemeana na eneo lakin maeneo niliyojarib kupita magufuli kias fulan wanamtaja mtaja
 
Usijidaganye media zina umuhimu wake hata vijijini hufatilia habari kwa umakini na habari watu hujikusanya kuangalia TV. Karne hii media INA nafasi kubwa
 
We umeona ile video mmama anapita amepiga dira la ccm kariako na kuzomewa??? Ndo ujiulize kuwa magufuli anakubaliwa au laa??(
 
kipimo ni jana kama ni mfatiliaji wa mambo utagundua 2 kati yao ni nani kumbuka media znafata newz yenye mvuto na inayofatiliwa na watu bt jana watanzania na kimataifa walikuwa wanafatilia mkutano wa ukawa mfano mzr ni JF thread iliyofatiliwa kwa ukarb ni ya EL kuliko ile ya lumumba leo uwez ukamlinganisha EL na maguful kwan kwa sifa ya utendaj wote wanayo jana kwa masikio yangu nimemsikia kiongoz mkubwa wa chama na serikali ambae code name yake ni (dorge) wenye kujua code name hii watamjua alikuwa anasema tena kwa jazba kuwa wanakipindi kigum sana ktk siasa za vyama vng kuliko kpnd chochote na wasipokuwa makini nchi itakwenda upinzani kwan upepo wa jana ni moja ya dalili mbaya kwao
 
mkuu acha kutaja jina utapigwa ban kwa sababu ya name calling
 
Kwa upande wangu naona kama EL kafunika kote kwebye media na mitaani hapa ssiongi ushabiki huo ndo ukweli
 
wadau,nakuwa kama vile nashindwa kuelewa huu ushindani nadhani hata wewe ukijaribu kufuatilia utagundua kuwa karib media zote news zinazopewa headlines ni lowasa na UKAWA lakini ukirudi kwa raia wetu ambao wanatumia mda mchache sana kufuatilia media ambao ni raia wa kawaida sana wanamkubali sana magufuli.upande wangu nimejaribu sana kuwashauri kuwa magufuli kiasi fulani anapwaya kuwa rais nimeishiwa kupingwa sana tena sana.ila najua UKAWA wakianza kusambaza sumu najua tutaanza kuwapata kama awali.

Raia gani labda wa lumumba,
 
Hesabu zimetumika hapo.Media for a minute taarifa znawafikia watu nchi nzima ww hao raia lini utawafikia wote. Digital life meen
 
Kaka kiukweli Rais anayeuzika na ambaye huhitaji kutumia msuli kumnadi ni John Pombs Magufuli.

Huyo mwingine anatuhuma
Kwa CCM kile kile bila shaka Magufuli hawezi kumsogelea hata kwa mbali matumaini ya maisha bora kwa kila mtanzania tuliyokuwa nayo kwa Jakaya Kikwete. Kwa mtu yeyote wa kileo mwenye upeo bila shaka atafikilia mabadiliko na si vinginevyo. Nayo ni kubadili mfumo mzima wa utawala kwa kupigia kura ukawa, yaani Edward Lowassa. Ujembe wa Magufuli katika mfumo ule ule hautatupeleka popote zaidi ya kuuimba wimbo ule ule na kutupotezea mida . Tubadilike.
Mungu bariki Tanzania, nchi ya baba zetu .
 
Huku kitaa ni Lowassa tu hadi vitoto wadogoooo...Magufuli hajulikani
 
wadau,nakuwa kama vile nashindwa kuelewa huu ushindani nadhani hata wewe ukijaribu kufuatilia utagundua kuwa karib media zote news zinazopewa headlines ni lowasa na UKAWA lakini ukirudi kwa raia wetu ambao wanatumia mda mchache sana kufuatilia media ambao ni raia wa kawaida sana wanamkubali sana magufuli.upande wangu nimejaribu sana kuwashauri kuwa magufuli kiasi fulani anapwaya kuwa rais nimeishiwa kupingwa sana tena sana.ila najua UKAWA wakianza kusambaza sumu najua tutaanza kuwapata kama awali.

Duuh hii nayo mpya.... Ebu jaribu kupita mitaani utaje jina la Lowassa usikie shangwe kutoka kwa vijana... Magufuli kumuuza ni ngumu, hama mvuto kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom