Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Ni ukweli usiopingika kwamba, mtikisiko wenye mkito mkubwa ndani ya serikali na CCM kwa ujumla, Lowassa anahusika sana. Kawaponza watu sana.
Nchimbi, Sophia Simba, Msukuma, Gwajima, Bashe, Jerry Slaa, Serukamba, wenyeviti wa CCM kwenye mikoa karibu yote Tanzania nk nk wameathirika kiuchumi, kijamaa na kisiasa. Swala hili liko wazi.
Lowassa huyu, kila anapoulizwa juu ya mnyororo wake kukatwakatwa vipande na watawala waliopo, huwa anapenda sana kujibu "no comment" akimaanisha "sina la kusema". Huna la kusema kwa mantiki gani? Umeumiza familia za watu, umejenga uhasama mkubwa baina ya wanasiasa, watu wamepoteza kazi, vyeo na wengine hatuelewi walipo, unajibu tu sina la kusema.
Busara itumike, sema lolote. Kama ni tamu tutalikamata. Usiwe bubu Lowassa, nena tafadhali baba.