Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 3,303
- 6,509
Aaa wapi, haya mapenzi yenu ya ghafla baada ya kifo hayabadili chochote. Kikwete anajua siasa, anajua wajumbe walikuwa wamepangwa/jipanga, lakini hiyo haikuweza kumtoa kwenye mstari wa maamuzi ya chama. Na historia ikaandikwa kwa jinsi ilivyo leo. Siasa iko hivyo unaweza kuwa na kila kitu cha kukufanya uwe raisi na bado ukashindwa kuwa. Tuna Salim, Lowasa, Mwandosya, na Malecela kwa Tz. Kenya pana Raila. Marekani pana Hilary Clinton. Sasa Kikwete aliabikaje hapo?Hapa angalia Lowassa alivyomdhalilisha Jakaya Kikwete. Unadhani ni sahihi?
Walitesana kwa kweli
View attachment 2907950