TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,462
- 23,139
Kikwete aliumbiwa unafikiSasa yeye kamdhalilisha vipi hapo? Aliwaambia wajumbe waimbe?
Hapo ni baada ya Kikwete kuingia na majina yake ya mfukoni kwenye kamati kuu huku jina la Lowassa likiwa halipo katika orodha.
Ona hata sura yake (Lowassa) hapo ilivyojawa taharuki na majonzi tele.
Hii video uliyoiweka inamdhalilisha zaidi ya unavyodai.