Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

Ila kwa thread hii ya huyu jamaaa inathibitisha ngozi nyeusi akili zao.na wanyama hazijatofautiana sana..nilishasema ili tuendeleee tunahitaji wanzungu wakae kwenye nafasi kama urais,uwaziri, ubunge na majudge..ngozi nyeusi kwa akiii hizi bora wapelekwe shambani wakalime takataka kabisa
 
Ndiyo maana siku zote mnaambiwa tendeni haki ili kuepuka dhihaka na dharau..

Halafu hapo nawaona wengi wakipiga makofi kwa sana wakimzomea Kikwete na kumshangilia Lowasa
 
Lowassa alikuwa ni chaguo la watu na ilikuwa ni makosa makubwa kumpa Nchi Magufuli.

Kikwete hapo aliwakosea Wananchi na hata alipokuja Upinzani alizulumiwa USHINDI.
unawaza kutumia kichwa au makalio?
 
..Ni kwasababu Mwenyekiti wa Ccm ana MAJESHI nyuma yake.

..UUkimpinga Mwenyekiti wa Ccm utatumiwa wasiojulikana ili wakushughulikie.

..Umesahau jinsi Bashe na Msukuma walivyotekwa na wanausalama kabla ya vikao vya Ccm?

..Ccm ni chama ambacho wanachama wake hawana nguvu na mamlaka juu ya viongozi wao na haswa Mwenyekiti.
Ni kweli kabisa Mkuu usemalo ndio maana hata hapo EL katulia ni km alijua kinachofuata
 
Mwacheni Mzee apumzike chadema hamna mnalojua fungeni midomo
COM wenyewe walimtaka Lowassa, lkn kutokana na wivu wa mkwere na mwanakwenda, watu wengi waliteseka kwa hilo. Bila aibu kwa sababu ya njaa zao, watu wazima na akili zao wanaenda mpigia magoti mwanaume mwenzao. Ufala uliopitiliza, njaa zitawaua umbwa nyie, ndio mnaotuletea shida watu wa chini. IDIOTS
 
Hata hili jambo la kutokufungua jeneza limewapiga jiwe la usoni wanafiki.
Familia ya EL imenifundisha misimamo ya kweli na nafikiri ni maagizo ya EL mwenyewe.
 
Lowassa alikuwa ni chaguo la watu na ilikuwa ni makosa makubwa kumpa Nchi Magufuli.

Kikwete hapo aliwakosea Wananchi na hata alipokuja Upinzani alizulumiwa USHINDI.
Wananchi gani mkuu si alienda kugombania chadema mbona hao wananchi hawakumpa huo uraisi?
 
Ndiyo maana siku zote mnaambiwa tendeni haki ili kuepuka dhihaka na dharau..

Halafu hapo nawaona wengi wakipiga makofi kwa sana wakimzomea Kikwete na kumshangilia Lowasa
Haisaidii kitu uraisi haununuliwi maslahi ya nchi kwanza
 
COM wenyewe walimtaka Lowassa, lkn kutokana na wivu wa mkwere na mwanakwenda, watu wengi waliteseka kwa hilo. Bila aibu kwa sababu ya njaa zao, watu wazima na akili zao wanaenda mpigia magoti mwanaume mwenzao. Ufala uliopitiliza, njaa zitawaua umbwa nyie, ndio mnaotuletea shida watu wa chini. IDIOTS
Sio ccm sema walionunuliwa
 
Jpm alikuwa sahihi kuwakazia waswahili hawa.
Walitaka mtu wao atokee Pwani tena.
Ccm sio ya Pwani na visiwani pekee.
Wamejifunza sasa,wakome na watched huo upumbavu wao.
 
Sasa yeye kamdhalilisha vipi hapo? Aliwaambia wajumbe waimbe?

Hapo ni baada ya Kikwete kuingia na majina yake ya mfukoni kwenye kamati kuu huku jina la Lowassa likiwa halipo katika orodha.

Ona hata sura yake (Lowassa) hapo ilivyojawa taharuki na majonzi tele.
Hii video uliyoiweka inamdhalilisha zaidi ya unavyodai.
Kwahiyo wiki jana na hii tungekuwa na msiba wa kuondokewa na raisi kama ilivyokuwa kwa magufuli?; lakini piakwa miezi mingi lowasa ameugua angekuwa ameshakabidhi kiti kwa makamo wake?
 
Namheshimu sana Lowasa pasipo kujali yoteee.
Yule mzee kilekipindia anajiuzulu uwaziri dah nilisikiliza speech yake mpaka leo imenikaaa.
LOWASA aliamua kujiuzulu kupoteza yeye ili kuwanusuru watu wengine kama vile alivyosema kuwa maelekezo kutoka juu ndo yalimfanya a sign ile mikataba.

Lowasa pumzika kwa amani
 
Na ninaamini Lowassa angekuwa Raisi Bora.
Kwangu mimi nadhani changamoto kubwa inayoweza kumfanya mtu yoyote hata awe mzuri namna gani kuvurunda ni mfumo wetu wa kutawala. Kwa jinsi nchi ilivyo kubwa na population ilivyoongezeka, sioni ni kwa namna gani rais afanye vizuri bila kuunda upya mfumo wetu. Hivyo Lowassa angepata urais lakini akatae kubadilisha mfumo, bado angekwama tu. Hata ukimrudisha kimiujiza Nyerere, kama hatabadilisha, atakwama.
 
Kwenye kile kijarida walichotoa Familia kama Wasifu wa Mzee Mh EL ni kuwa aligombea nafasi ya Urais kupitia UKAWA na sio Chadema ( sijajua kwann wameruka neno chadema )
 
Back
Top Bottom