Lowassa alikimbia nini Karatu?

Lowassa alikimbia nini Karatu?

Ulikuwa ni mkutano wa wilaya ambao watu walifurika sana ukawa msidharau kule pia kuna wapiga kura wengi Zaidi ya laki 2
 
Wamburu wangemtandika viboko huyo, hawana mchezo na wakati wa kuhitaji maendeleo.
 
LOWASA ALIKIMBIA NINI KARATU:
Kwa nini Lowasa hakuweza fanya mkutano karatu licha ya maandalizi yake kufanywa?kwanini aliishia Mto wa mbu wakat pale na karatu kwa chopa ni dk 5 tu?tatizo ni nini??
Saa zingine mtub kama huna cha kuandika ni bora ukacheza game kama una uwezo kwa hivyo vyi MB vyako,hivi Lowassa alikuwa na ratiba ya kwenda Karatu?mbona mnawashwa saa zingine sasa Karatu kuna nini wakati ni ngome ya Chadema na kwa taarifa yako wazee wa Karatu walimdharau sana Dr Slaa baada ya kuasi na walimwita shujaa mnafiki.Najua ulikuwa ukimaanisha baada ya Dr Slaa kukimbia Chadema kwa kununuliwa na CCm.Baba subiria campein bado atashuka Karatu Arusha nzima hakuna CCM kaa ukijua hilo.
 
Mkuu hao watoto wadogo sana yao ni nepi tu, wana post mambo ya kipuz tu
 
Sipati picha lowasa na ile stail yake ya kukimbia mchamchaka,sijui angekumbiaje karatu walahi
 
Back
Top Bottom