Kama mambo ya washroom yataendelea anaweza kuja kuliaibisha taifa akienda ugenini. Anaweza kuja kualikwa kwenye sherehe muhimu ya taifa la nje halafu mambo ya geita yakatokea. Watanzania wote tutaonekana mazoba kwa kumpatia nafas ya urais. Apumzike tu