Lowassa alikimbia nini Karatu?

Lowassa alikimbia nini Karatu?

LOWASA ALIKIMBIA NINI KARATU:
Kwa nini Lowasa hakuweza fanya mkutano karatu licha ya maandalizi yake kufanywa?kwanini aliishia Mto wa mbu wakat pale na karatu kwa chopa ni dk 5 tu?tatizo ni nini??

Dk Slaa alisema Lowasa alidriki kuhamisha mpaka wa monduli na karatu, hivyo nafsi ina msuta.
 
Acheni siasa za maji taka!!! Mbona akifika Mto wa Mbu hakwenda Monduli?? Mbona hakwenda Longido na hamuulizi?? Siku ikifika mtamsikia Karatu. Au nyie ndio mnampangia ratiba???

Usisahau watu wa karatu walisha kusanyika eneo la mkutano. Huko kwingine hawakuwa kwenye ratiba...
 
Huyu lowasa apimwe vizuri kwa kweli?wale wanaozunguka nao cjui wana mpango nae ganii??
 
Back
Top Bottom