Lowassa alichanganya damu ya Mmeru na Mmasai, alivaa nafsi ya uongozi kama Japhet Kirilo, Sokoine na Jenerali Sarakikya

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na historia.

Katika historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania anatajwa Mzee Sarakikya, huyu aliweza kupokea jeshi kutoka kwa wakoloni na kuweka misingi iliyopo sasa ya jeshi. Pamoja na umaskini wetu, wazee wanamtaja kama kiongozi aliyeweza kutumia akili na rasiliamali kidogo kujenga majengo ya jeshi na kuanzisha taassisi ikiwemo Lugalo.

Ni kiongozi aliyeweza kusimama imara na kumshauri mwalimu nyerere ipasavyo na kwa kutambua uwezo wake na nguvu yake ya ushawishi aliondoka Jeshini akiwa bado anahitajika. Mzee huyu anazaliwa katika wilaya ya Arumeru si mbali kutoka anapozaliwa Lowasa.

Wazee hawa wanaleta pia masikioni mwangu jina la mwanamapinduzi aliyekataa ukoloni Kaskazini aitwaye Japhet Kirilo. Wanavyosema wazee msibani ni kwamba, huyo Japhet Kirilo aliondoka Meru na kwenda umoja wa Mataifa kuomba Uhuru wa wa wameru.

Akiwa katika mchakato huo ndipo akafika mwalimu kwenye ofisi zilezile na kuomba Uhuru wa Tanganyika. Inaelezwa kwamba Japhet Kirilo na washili wa Meru walichanga fedha ya nauli na walikataa kabisa kufadhiliwa na wakoloni katika harakati hizo.

Japhet anaelezwa kuwa tishio kwa wakoloni na alifanikiwa kuifanya sehemu ya meru kutotawaliwa badala yake waliojipanga kutawala waliishia kutumia mfumo wa uwekezaji badala ya utumikishaji wa wazi.

Historia kama ya Japhet Kirilo kwanini haizungumzwi? Inaelezwa kwamba, baada ya wakoloni kuona vuguvugu la kudai uhuru limepamba moto waliamua kumuunga mkono Mwalimu kwa kumtaka afanye iwezekanavyo asimame kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa kuzingatia wakoloni walikuwa wanapashana habari mwalimu alipoingia madarakani alianza kupambana na wapigania uhuru wenzake bila kujua hizo zilikuwa trick za wakoloni.

Mwalimu kwa mujibu wa wazee alipopata Uhuru na bila hata sababu ya msingi alielekeza Japhet Kirilo awekwe kizuizini huko nyumbani kwake Meru na asiruhusiwe kutoka nje ya eneo lake bila kibali cha Mhe, Rais.

Inaelezwa kwamba baada ya Japheti waliendelea kuwekwa kizuizini akina Kambona na pia joto lilipopanda ilibidi hata Jenerali Sarakikya aondolewe Jeshini kuzima vuguvugu la ukinzani wa hoja ndani ya serikali. huo ndio ukawa mwisho wa Japheti katika siasa, wazee wanahoji endapo mwalimu asingemweka kizuizini Mwinyi angekuwa Raisi?

Wanamjadili pia kijana wao Sokoine, Mmmasai ambaye wazee wanaamini aliondolewa Duniani kwa sababu ya misimamo na uzalendo wake. Anatajwa Sokaine kama Rais wa pili wa Tanzania aliyekatishwa uhai kupisha nguvu ya rushwa kuendelea kutamalaki katika nchi.

Yawezekana wazee hawa wangepewa nafasi ya kuishi nchi yetu ingekuwa kama Malysia. Kwa bahati mbaya wanapozaliwa viongozi na wakaonyesha uongozi mifumo ya nchi inawakataaa, Buriani Sokoine

Katika moyo ule ule wakuendelea kufifisha ndoto za viongozi wanaozaliwa katika ukanda wa kaskazini, wanaibuka watu nakusema adharani kwamba kaskazini awatawala nchi, means hawa siyo watanzania.

Awamu ya nne ikachukua nafsi ya usaliti na kuamua kupambana na kiumbe mwenye uthubutu na anayesimamia kile anachokiamini. Anaadhibiwa Lowasa asipate Urais si kwa sababu nyingine bali ni kudhibiti ukanda wa kaskazini usivuke viwango vingine.

Lowasa analala akiwa na maumivu makubwa yaliyotokana na usaliti uliofanywa na mtu wake wa karibu ambaye hakustahili kumfanyia yote haya. Anapata stroke na kuugua kwa muda mrefu jambo inaloweza kulilinganisha na yule aliyewekwa kizuizini.

Kama aishivyo, matosa haya aliyopitia katika siasa yanamfanya awe mwanasiasa anayeondoka Duniani akiwa mwanachama wa vyama vyote vya siasa nchini. Ni mwanasiasa aliyeamini katika yeye na si katika wao.

Alitambua anachokitafuta na alipokikosa CCM alitoka adharani na kuwaambia wao siyo mama yao. Pamoja na kumuibia kura iliwalazimu watesi wake waanze kukamata mali zake na watoto wake kisha kuwaweka ndani kushinikiza arejee CCM.

Bila yeye kurejea CCM bado usalama haukupatikana, aliporejea CCM hakukaa kama mwana CCM bali alishiriki kuikomboa familia yake iliyokuwa inateswa si kwa kuwa na hatia bali kwa wivu wa wanasiasa kuhusu KWANINI LOWASA ANAPENDWA KULIKO WAO?

Wazee wa kimasai na kimeru wanakula nyama na kusherekea nguvu kubwa waliyojaaliwa kwenye viuno vyao yakuwezesha kuzaa watoto wenye nguvu ya kimamlaka na wanaweza kusimama imara kulitetea Taifa. Moja ya wazee akasema, Lowasa, Sokoine, Japhet na Sarakikya ni baadhi ya viongozi wanaoandaa njia ya MUSA kuwaondoa wana wa Israel utumwani.

Nenda LOWASSA.
 
Aiseh!!

Inaumiza sana!!

Ifike mahalo watz tukubali kutengeneza Katiba ambayo hata aingie mtu yeyote awe tajiri au maskini nchi itasonga,Katiba iliyopo inaleta walakini Sana akinngia mtu was hovyo atawaumiza wengine!!
 
Sokoine angekuwa rais nchi ingezidi kudidimia kwenye umasikini.

Baada ya Nyerere, alihitajika mtu wa kufungua uchumi kama alivyofanya Mwinyi.

Mfumo wa kubana vitu wa kina Nyerere na Sokoine ulikuwa umeshindwa kumaliza matatizo ya wananchi.
 
Ndiyo hatari ya kusikiliza habari za kijiweni.Meja Generali Mirisho Sarakikya aliteuliwa Mkuu wa mpya wa Majeshi mwaka 1964 na kupokewa na Abdalla Twalipo mwaka 1974.
Sarakikya aliteuliwa baada ya jaribio la kupindua Serikali mwaka 1964. Na kilichofanya ateuliwe ni kwamba yeye hakuwepo kwenye kundi lililoasi.Hiyo hadithi yako ya kuondolewa haina uhalisia.
 
Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na historia.

Katika historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania anatajwa Mzee Sarakikya, huyu aliweza kupokea jeshi kutoka kwa wakoloni na kuweka misingi iliyopo sasa ya jeshi. Pamoja na umaskini wetu, wazee wanamtaja kama kiongozi aliyeweza kutumia akili na rasiliamali kidogo kujenga majengo ya jeshi na kuanzisha taassisi ikiwemo Lugalo.

Ni kiongozi aliyeweza kusimama imara na kumshauri mwalimu nyerere ipasavyo na kwa kutambua uwezo wake na nguvu yake ya ushawishi aliondoka Jeshini akiwa bado anahitajika. Mzee huyu anazaliwa katika wilaya ya Arumeru si mbali kutoka anapozaliwa Lowasa.

Wazee hawa wanaleta pia masikioni mwangu jina la mwanamapinduzi aliyekataa ukoloni Kaskazini aitwaye Japhet Kirilo. Wanavyosema wazee msibani ni kwamba, huyo Japhet Kirilo aliondoka Meru na kwenda umoja wa Mataifa kuomba Uhuru wa wa wameru.

Akiwa katika mchakato huo ndipo akafika mwalimu kwenye ofisi zilezile na kuomba Uhuru wa Tanganyika. Inaelezwa kwamba Japhet Kirilo na washili wa Meru walichanga fedha ya nauli na walikataa kabisa kufadhiliwa na wakoloni katika harakati hizo.

Japhet anaelezwa kuwa tishio kwa wakoloni na alifanikiwa kuifanya sehemu ya meru kutotawaliwa badala yake waliojipanga kutawala waliishia kutumia mfumo wa uwekezaji badala ya utumikishaji wa wazi.

Historia kama ya Japhet Kirilo kwanini haizungumzwi? Inaelezwa kwamba, baada ya wakoloni kuona vuguvugu la kudai uhuru limepamba moto waliamua kumuunga mkono Mwalimu kwa kumtaka afanye iwezekanavyo asimame kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa kuzingatia wakoloni walikuwa wanapashana habari mwalimu alipoingia madarakani alianza kupambana na wapigania uhuru wenzake bila kujua hizo zilikuwa trick za wakoloni.

Mwalimu kwa mujibu wa wazee alipopata Uhuru na bila hata sababu ya msingi alielekeza Japhet Kirilo awekwe kizuizini huko nyumbani kwake Meru na asiruhusiwe kutoka nje ya eneo lake bila kibali cha Mhe, Rais.

Inaelezwa kwamba baada ya Japheti waliendelea kuwekwa kizuizini akina Kambona na pia joto lilipopanda ilibidi hata Jenerali Sarakikya aondolewe Jeshini kuzima vuguvugu la ukinzani wa hoja ndani ya serikali. huo ndio ukawa mwisho wa Japheti katika siasa, wazee wanahoji endapo mwalimu asingemweka kizuizini Mwinyi angekuwa Raisi?

Wanamjadili pia kijana wao Sokoine, Mmmasai ambaye wazee wanaamini aliondolewa Duniani kwa sababu ya misimamo na uzalendo wake. Anatajwa Sokaine kama Rais wa pili wa Tanzania aliyekatishwa uhai kupisha nguvu ya rushwa kuendelea kutamalaki katika nchi.

Yawezekana wazee hawa wangepewa nafasi ya kuishi nchi yetu ingekuwa kama Malysia. Kwa bahati mbaya wanapozaliwa viongozi na wakaonyesha uongozi mifumo ya nchi inawakataaa, Buriani Sokoine

Katika moyo ule ule wakuendelea kufifisha ndoto za viongozi wanaozaliwa katika ukanda wa kaskazini, wanaibuka watu nakusema adharani kwamba kaskazini awatawala nchi, means hawa siyo watanzania.

Awamu ya nne ikachukua nafsi ya usaliti na kuamua kupambana na kiumbe mwenye uthubutu na anayesimamia kile anachokiamini. Anaadhibiwa Lowasa asipate Urais si kwa sababu nyingine bali ni kudhibiti ukanda wa kaskazini usivuke viwango vingine.

Lowasa analala akiwa na maumivu makubwa yaliyotokana na usaliti uliofanywa na mtu wake wa karibu ambaye hakustahili kumfanyia yote haya. Anapata stroke na kuugua kwa muda mrefu jambo inaloweza kulilinganisha na yule aliyewekwa kizuizini.

Kama aishivyo, matosa haya aliyopitia katika siasa yanamfanya awe mwanasiasa anayeondoka Duniani akiwa mwanachama wa vyama vyote vya siasa nchini. Ni mwanasiasa aliyeamini katika yeye na si katika wao.

Alitambua anachokitafuta na alipokikosa CCM alitoka adharani na kuwaambia wao siyo mama yao. Pamoja na kumuibia kura iliwalazimu watesi wake waanze kukamata mali zake na watoto wake kisha kuwaweka ndani kushinikiza arejee CCM.

Bila yeye kurejea CCM bado usalama haukupatikana, aliporejea CCM hakukaa kama mwana CCM bali alishiriki kuikomboa familia yake iliyokuwa inateswa si kwa kuwa na hatia bali kwa wivu wa wanasiasa kuhusu KWANINI LOWASA ANAPENDWA KULIKO WAO?

Wazee wa kimasai na kimeru wanakula nyama na kusherekea nguvu kubwa waliyojaaliwa kwenye viuno vyao yakuwezesha kuzaa watoto wenye nguvu ya kimamlaka na wanaweza kusimama imara kulitetea Taifa. Moja ya wazee akasema, Lowasa, Sokoine, Japhet na Sarakikya ni baadhi ya viongozi wanaoandaa njia ya MUSA kuwaondoa wana wa Israel utumwani.

Nenda LOWASSA.

Hii ni claim, not truth . Hata waislam wana story kama hizo za uhuru dhidi ya mwalimu na mashekh waliopotezwa baada tu ya mwalimu kupewa nchi.

Ni falsified stories with no hard evidence.

Ni kweli lowassa alikataliwa na rafiki yake na haina uhusiano na Ukanda, alikataliwa kwa sababu ya personal traits alizopewa tangu Mwalimu, huenda zilimtia doa

hizi story zipo. subjective.

kaskazini kuna watu makini nikiwemo mimi na baadhi yao wapo kwenye nafasi za juu serikali ikiwemo jeshin, ikulu, vyuoni , intelligence , hospitals, institutions , banking etc . kama ishu ni ukanda hata huku tusingekuwepo.

so your claim is Invalid and Unsound
 
Maneno Mengi kumbe hàbari kubwa ni kufikisha malalamiko kwà mlengwa wa ukanda.
Ndio wa zanzibar wanaposema nyerere aliona mbali sana(zanzibar km ilitolewa kafara zidi ya maelewano kwa tanganyika zidi ya ukabila na ukanda ) kuunganisha tnk+znz=tz ni kheri malalamiko ya muungano huu lkn ukabila,ukanda udino vitu vya kuviogopa sana kwa tz
 
Leo napata hadithi za Lowassa za kusisimua, kufurahisha na kuhuzunisha.
Ombi!! Atokee muandishi mmoja mahiri, akusanye data vizuri za Pande zote, atupe hadithi ya maisha ya Lowassa...natamani kumjua vizuri mtu huyu.
MUNGU ampumzishe Kwa Amani.
 
..Japhet Kirillo alikwenda UN kupinga Wameru kunyang'anywa ardhi. Habari kwamba alikwenda huko kudai uhuru wa Wameru sio za kweli.
 
Tulikua atujui ayo

..mtoa mada ni mazishi.

..Japhet Kirillo hakuwahi kudai uhuru wa Wameru.

..Japhet Kirillo ni mmoja kati ya waasisi wa Tanu, chama kilichodai uhuru wa Tanganyika nzima.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na historia.

Katika historia ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania anatajwa Mzee Sarakikya, huyu aliweza kupokea jeshi kutoka kwa wakoloni na kuweka misingi iliyopo sasa ya jeshi. Pamoja na umaskini wetu, wazee wanamtaja kama kiongozi aliyeweza kutumia akili na rasiliamali kidogo kujenga majengo ya jeshi na kuanzisha taassisi ikiwemo Lugalo.

Ni kiongozi aliyeweza kusimama imara na kumshauri mwalimu nyerere ipasavyo na kwa kutambua uwezo wake na nguvu yake ya ushawishi aliondoka Jeshini akiwa bado anahitajika. Mzee huyu anazaliwa katika wilaya ya Arumeru si mbali kutoka anapozaliwa Lowasa.

Wazee hawa wanaleta pia masikioni mwangu jina la mwanamapinduzi aliyekataa ukoloni Kaskazini aitwaye Japhet Kirilo. Wanavyosema wazee msibani ni kwamba, huyo Japhet Kirilo aliondoka Meru na kwenda umoja wa Mataifa kuomba Uhuru wa wa wameru.

Akiwa katika mchakato huo ndipo akafika mwalimu kwenye ofisi zilezile na kuomba Uhuru wa Tanganyika. Inaelezwa kwamba Japhet Kirilo na washili wa Meru walichanga fedha ya nauli na walikataa kabisa kufadhiliwa na wakoloni katika harakati hizo.

Japhet anaelezwa kuwa tishio kwa wakoloni na alifanikiwa kuifanya sehemu ya meru kutotawaliwa badala yake waliojipanga kutawala waliishia kutumia mfumo wa uwekezaji badala ya utumikishaji wa wazi.

Historia kama ya Japhet Kirilo kwanini haizungumzwi? Inaelezwa kwamba, baada ya wakoloni kuona vuguvugu la kudai uhuru limepamba moto waliamua kumuunga mkono Mwalimu kwa kumtaka afanye iwezekanavyo asimame kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa kuzingatia wakoloni walikuwa wanapashana habari mwalimu alipoingia madarakani alianza kupambana na wapigania uhuru wenzake bila kujua hizo zilikuwa trick za wakoloni.

Mwalimu kwa mujibu wa wazee alipopata Uhuru na bila hata sababu ya msingi alielekeza Japhet Kirilo awekwe kizuizini huko nyumbani kwake Meru na asiruhusiwe kutoka nje ya eneo lake bila kibali cha Mhe, Rais.

Inaelezwa kwamba baada ya Japheti waliendelea kuwekwa kizuizini akina Kambona na pia joto lilipopanda ilibidi hata Jenerali Sarakikya aondolewe Jeshini kuzima vuguvugu la ukinzani wa hoja ndani ya serikali. huo ndio ukawa mwisho wa Japheti katika siasa, wazee wanahoji endapo mwalimu asingemweka kizuizini Mwinyi angekuwa Raisi?

Wanamjadili pia kijana wao Sokoine, Mmmasai ambaye wazee wanaamini aliondolewa Duniani kwa sababu ya misimamo na uzalendo wake. Anatajwa Sokaine kama Rais wa pili wa Tanzania aliyekatishwa uhai kupisha nguvu ya rushwa kuendelea kutamalaki katika nchi.

Yawezekana wazee hawa wangepewa nafasi ya kuishi nchi yetu ingekuwa kama Malysia. Kwa bahati mbaya wanapozaliwa viongozi na wakaonyesha uongozi mifumo ya nchi inawakataaa, Buriani Sokoine

Katika moyo ule ule wakuendelea kufifisha ndoto za viongozi wanaozaliwa katika ukanda wa kaskazini, wanaibuka watu nakusema adharani kwamba kaskazini awatawala nchi, means hawa siyo watanzania.

Awamu ya nne ikachukua nafsi ya usaliti na kuamua kupambana na kiumbe mwenye uthubutu na anayesimamia kile anachokiamini. Anaadhibiwa Lowasa asipate Urais si kwa sababu nyingine bali ni kudhibiti ukanda wa kaskazini usivuke viwango vingine.

Lowasa analala akiwa na maumivu makubwa yaliyotokana na usaliti uliofanywa na mtu wake wa karibu ambaye hakustahili kumfanyia yote haya. Anapata stroke na kuugua kwa muda mrefu jambo inaloweza kulilinganisha na yule aliyewekwa kizuizini.

Kama aishivyo, matosa haya aliyopitia katika siasa yanamfanya awe mwanasiasa anayeondoka Duniani akiwa mwanachama wa vyama vyote vya siasa nchini. Ni mwanasiasa aliyeamini katika yeye na si katika wao.

Alitambua anachokitafuta na alipokikosa CCM alitoka adharani na kuwaambia wao siyo mama yao. Pamoja na kumuibia kura iliwalazimu watesi wake waanze kukamata mali zake na watoto wake kisha kuwaweka ndani kushinikiza arejee CCM.

Bila yeye kurejea CCM bado usalama haukupatikana, aliporejea CCM hakukaa kama mwana CCM bali alishiriki kuikomboa familia yake iliyokuwa inateswa si kwa kuwa na hatia bali kwa wivu wa wanasiasa kuhusu KWANINI LOWASA ANAPENDWA KULIKO WAO?

Wazee wa kimasai na kimeru wanakula nyama na kusherekea nguvu kubwa waliyojaaliwa kwenye viuno vyao yakuwezesha kuzaa watoto wenye nguvu ya kimamlaka na wanaweza kusimama imara kulitetea Taifa. Moja ya wazee akasema, Lowasa, Sokoine, Japhet na Sarakikya ni baadhi ya viongozi wanaoandaa njia ya MUSA kuwaondoa wana wa Israel utumwani.

Nenda LOWASSA.
Kuna siku wa kaskazini wataichukua nchi kwa nguvu. Na utakuwa ndiyo mwanzo wa Tanzania yenye neema.

Tunza neno langu!
 
Uko mo'duli msibani ila upo Bize kutype ..maliza matanga kwanza..babu
 
Muandishi hana hoja zenye mantiki.

Kaskazini imetoa mawaziri wakuu wengi kuliko ukanda mwingine hapa nchini.
Msuya
Sokoine
Msuya tena (1994-95)
Sumaye
Edwards Lowassa.

Kama sio kashfa ya Richmond ambayo walianguka EL, Msabaha na Karamagi je, kuna mtu aliwanea hao wote?

Kama ni U-PM, mbona John Malecela aliekuwa waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais 1990-94, nae mbona alianguka na Msuya akamalizia kipindi kilichobakia?

Kuna haja ya kuwa objective. Kama kuna mtu alikatwa CCM 1995 na 2005 ni John Samwel Malecela.
1995 Malecela kama jina lake lingeingia kwenye kupigiwa kura, bila shaka angelamba.

Ila basi, sio lazima kwenye mchujo jina litokee.
Watu wakiwa wakweli, mbona mtu kama Samuel Sitta (spika) nae mbona aliliwa kichwa?
Hapo napo kuna chuki?

Joseph Sinde Warioba 1996, mbona nae alikatwa, napo ni chuki?

Watanzania, tukiandika kwenye public domain, ni vema hoja zikajitetea na sio kuingiza maneno kama chu

By the way, watu ambao wanaweza kutumika full term ni Rais na VP, vyeo vingine vyote ni discretion ya mamlaka ya uteuzi.
Rais akitaka kumtoa yeyete aliemteua, hahitaji ridhaa wala mashauriano na kanda fulani.

Tuweni watulivu na tuishi kwa shukurani kwa maisha na nafasi au vyeo ambavyo vinabaki kuwa dhamana!

Wasalaam!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Man those are the political figure find the monies you will diying crying left history back ...what what ..who.who. being tied .... count your further or clan name
.
.
 
Huyu Mzee wetu akiwa PM RICHMOND ilitoka wapi Nchi iko Gizani?

Huyu Mzee wetu akiwa Waziri wa Mifugo NGOMBE WA RANCHI ZETU walienda wapi? Leo mnajisifu mnakula Nyama Choma kumbe mnakula vya walalahoi.

Mungu Waweke wanapostahili Viongozi wetu, Wameacha makovu makubwa ya umaskini na Vifo kwa Raia wao.
 
Back
Top Bottom