Lowassa akumbukwa

Lowassa akumbukwa

Miaka ijayo mtakuja kumuelewa The Living Legend- John Pombe Magufuli...
Hii inaitwa "major overhauling" ya miji mikubwa...baada ya hapa itakuwa rahisi sana kutandaza miundombinu ya gesi, maji na familia hazitateketea tena kwa moto eti kwasababu gari la fire-fighting limeshindwa kufika kwenye eneo la tukio sababu ya ujengaji mbovu wa nyumba. Mtakuja kumuelewa tu
Umenena mkuu
 
umesahau usafiri wa umma. mojawapo ya sababu za kuanza kuzorota huduma ya UDA miaka ile ya 80 ni kuendelea kwa kasi ya ujenzi ovyo wa makazi hivyo huduma ya usafiri wa uda kushindwa kuwafikia wakazi. laki kadha hadi wengi wa watu wa dsm wakawa wanaishi kwenye skwata. mabasi makubwa yanayofaa mijini yakawa hayawezi kupita kwenye vichochoro kuwafuata watu.
 
Last edited:
Wanaomkumbuka Lowassa ni majipu tuu. Yafaa na wao watumbuliwee
 
Yaani Mungu alitupa ufahamu hatua ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo tukamchagua Magufuli. Kuna watu walidanganyika tangu awali kuwa Lowasa ndo anafaa. Mungu alivyo mkubwa, akampa kaugonjwa ka kujinyea ndo wananchi wakashtuka

mungu huyo huyo alimpa JK kaugonjwa kakuanguka majukwaani lakini bado mkamchagua!
 
Miaka ijayo mtakuja kumuelewa The Living Legend- John Pombe Magufuli...
Hii inaitwa "major overhauling" ya miji mikubwa...baada ya hapa itakuwa rahisi sana kutandaza miundombinu ya gesi, maji na familia hazitateketea tena kwa moto eti kwasababu gari la fire-fighting limeshindwa kufika kwenye eneo la tukio sababu ya ujengaji mbovu wa nyumba. Mtakuja kumuelewa tu
Ni kweli na si kwa suala la bomoabomoa tu bali katika kujenga maadili ya utumushi wa umma.Nimetafakari sana suala la TPA,TRA,TRL nikawa najiuliza- hivi tulifikaje hapa?Taasisi tulizoziamini na kujivunia kumbe ndio zilisaliti wajibu wao kwa taifa kwa kiwango hiki?
 
Yani source Tanzania Daima?,,,

hivi mtu utatoaje habari kutoka Tz daima, uhuru,mawio au mwanahalisi na kutuletea hapa?
 
Yaani Mungu alitupa ufahamu hatua ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo tukamchagua Magufuli. Kuna watu walidanganyika tangu awali kuwa Lowasa ndo anafaa. Mungu alivyo mkubwa, akampa kaugonjwa ka kujinyea ndo wananchi wakashtuka
usimkebei mwenzio kwa ugonjwa hata wewe mwaka huu hautaisha kabla hujalazwa kitandani
 
Kusema kweli sikuwa na hamu na uongozi wa ccm kwa miaka 10 iliyopita. Lakini kwa mwanzo huu nimeanza kurudisha imani kwani sasa inajulikana kuwa kuna kiongozi mkuu yupo. Mungu akubariki sana rais.
 
Hivi nyumba za serikali ziliiendaga wapi vileeee?
 
Huu juz umejaa wasengerema kibao wa Lumumba
 
Back
Top Bottom