Lowassa akumbukwa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Hatimae wananchi wameanza kukiri heri wangemchagua Lowassa kuwa rais huenda angewahurumia katika bomoabomoa inayoendelea.

Wadau hii maana yake nini?

Chanzo: Tanzania Daima
 
Last edited by a moderator:
Miaka ijayo mtakuja kumuelewa The Living Legend- John Pombe Magufuli...
Hii inaitwa "major overhauling" ya miji mikubwa...baada ya hapa itakuwa rahisi sana kutandaza miundombinu ya gesi, maji na familia hazitateketea tena kwa moto eti kwasababu gari la fire-fighting limeshindwa kufika kwenye eneo la tukio sababu ya ujengaji mbovu wa nyumba. Mtakuja kumuelewa tu
 
kweli nimeami tanzania mungu anaipenda sijui tulidanganyika nini kumpenda lowassa. kwamba raisi wa kweli anatoka ndani ya ccm nimeamini
Yaani Mungu alitupa ufahamu hatua ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo tukamchagua Magufuli. Kuna watu walidanganyika tangu awali kuwa Lowasa ndo anafaa. Mungu alivyo mkubwa, akampa kaugonjwa ka kujinyea ndo wananchi wakashtuka
 
Doctor.jpg

MILEMBE.jpg
 
Back
Top Bottom