Lowassa akiwa leo Hedaru

Lowassa akiwa leo Hedaru

Halafu kinachonifurahisha kwa sasa Mh. Lowassa anaonekana mwenye afya njema na maCCM hayana tena cha kuzungumza na push up yamepunguza baada ya kuona hazilipi tena.

Ni kweli kabisa mkuu, binafsi namkubali na nafikiri kwa yaliyomkuta ya kutukanwa na akina Nape Ritz1 na bado mzee hajapata pressure basi namwita stress proof character.
 
Piga kazi baba usihofu baunsa wa kukulinda ana pasha kwa push up jukwaani.
 
Ripota wa ITV anaeandamana na Lowassa hafai. Nashauri timu ya kampeni ya Lowassa wampige chini huyu dogo watafute mjanja kama Buhohela

hatutaki maujanja yasio na tija acha kijana apige kazi ya uhakika
 
Lameck anatosha sana hakuna sababu ya kuwa na mwandishi tapeli kama Buhohela amevaa ukada badala ya uandishi kufoji picha kupiga kampeni
 
Lameck anatosha sana hakuna sababu ya kuwa na mwandishi tapeli kama Buhohela amevaa ukada badala ya uandishi kufoji picha kupiga kampeni


Kwel kabisa habar zake watu wanapunga mkono wambele tu nyuma haonesh
 
Lowasa kuingia ikulu haipingiki.leo nimeongea na mbuge moja wa ccm anakiri makufuli kuona ikulu ni ndoto ya mchana japo anasema wamepanga kuleta fujo lakin haitasaidia
 
ninachompendea lowasa hapendi sifa,wala si mjivuni,halafu hana majigambo meengi,yani inshort anajua kucheza na minds za watu,halafu jamaa ana nyota ya pilau ya kuku, na cha mwisho,jamaa kakomaa kisiasa,anaijua siasa,watu km kina slaa au magufuli ilihitajika wajifunze siasa kupitia kwa lowasa,
 
Kuna magamba bado hayapita hapa yaone. Japo yanamkubali Lowassa kimya kimya
 
Naam! Kwa lowasa tunaenda kwenye kampeni , fiesta peleka ccm, pole zao wamasai wa mbulu wasiojua kula duck, ona sasa fiesta la bureee wamelikosa!
 
Well done kazi nzuri Mungu akulinde ewe shujaa.tupo pamoja nawe.njia ya ikulu nyeupe .Tuna imani na LOWASA tuna imani na CHADEMA ,tuna imani na UKAWA.
 
Magamba watakoma lowassa ni noma wanaye muita MWENYEKITI amenyuti hapigi debe tena sasa anajua mmasai huyo anampulia kisogoni atasema pooooooooooo
 
Back
Top Bottom