Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

Status
Not open for further replies.
Haya na huyo mwenye moyo wa bandia utaushikilia na nini?
 
Kwa mujibu wa taarifa za hivi punde ni kuwa gentamycine amejiandalia mdahalo akidai umeandaliwa na jumuiya ya ulaya na amejipachika umagufuli na papohapo ulowassa. akajipa jibu yeye mwenyewe na akahitimisha yeye mwenyewe. lakini sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu tunaamwambia kuwa jumuiya ya ulaya ni waangalizi wa uchaguzi au observers tu na hawahusiki hata kwa robo shilingi katika mchakato mzima wa uchaguzi. wanaoandaa midahalo ni asasi za kiraia na wanaweka mada mezani ambayo hujadiliwa na si vinginevyo...mwisho ilibainika kuwa gentamycine ni mrongo anayewadanganya maccm wenzake waamini upuuzi kama walivyoanza kumzushia Lowassa ati atamtoa babu seya wakati Lowassa hakuwahi kutamka hivyo bali ni sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu tulimuomba aiangalie kesi ya babu seya kutokana na uvumi kwamba babu seya ametiwa adabu tu na mkubwa mmoja.
 
Hivi ni kweli hawa jamaa huwa wanalipwa kwa maandiko yao!?

Hivi huwa wanapatikana kwa utaratibu gani maana duh!!
 
Huo Unaouita UPUUZI Kama Ningeundika Kuuelekeza Kwa Dr. Magufuli Hakika Hizi Lawama Zenu Zote Nisingezisikia. Watu Wa UKAWA Na CHADEMA Acheni UNAFIKI. Leo Mnaona Yangu Tu Haya Na Hadi Kuwataka Mods Na TCRA Wachukue Hatua Je Vipi ULE Upuuzi Wa Jana Wa Mama Rose Kamili Pale Regency Hotel? Je Alikuwa Sahihi? Najua Miiko Na Kanuni Zote Za Mods Humu JF Na Hao TCRA Na Kwa Vigezo Vyao Nina UHAKIKA Tena ULIOTUKUKA Kuwa Nipo Salama Na Sijakosea Popote. Kuna Watu Wengi Tu Humu Wanakuja Na Vitu VIKUBWA Tena Negative Vya Kumuhusu Huyo Huyo Mbaya Wenu Dr. Magufuli Mbona Huwa MNAUNYUTI Tu Na Hamuwaiti Hao Mods Na TCRA? Naona Ile Dozi Ya Juzi Ya Dr. Wilbroad Slaa Bado INAWATESA Kama Siyo KUWALEVYA.



Tulia, huo utetezi wako utautoa Polisi, subiri tukutie mbaroni kwanza ili uwe mfano kwa wengine wenye tabia kama yako. Mnajifanya kupuuza Sheria...
 
Sisi tunasubiria raisi atoke madarakani ndo tufanye mdahalo sijui atatokea wapi asee
 
Hivi ni kweli hawa jamaa huwa wanalipwa kwa maandiko yao!?

Hivi huwa wanapatikana kwa utaratibu gani maana duh!!

Huwa Wanatafuta Wale Tu Ambao Tokea CHEKECHEKEA, SHULE YA MSINGI, SEKONDARI Na Hadi UNIVERSITIES Huwa Na AKILI, KUBWA, NYINGI Na ZILIZOTUKUKA. Huku Mpumbavu Na Lofa Kamwe Hutakiwi Ktk Kitengo. Una Swali Jingine Sijui Labda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom