Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

Status
Not open for further replies.
Mpumbavu mwingine na pumba zake hapa. SMHD, ccm kweli hamjitambui
 
Lowasa rais na mgombea wetu hatafanya mdahalo maana ana ya muhimu zaidi ya hizo
 
Hujakosea Upo Sahihi Tena 100% Na Hata Baadhi Ya Dada Zako Nao Huwa Nashinda Nao Muda Wote Ghettoni Kwangu NIKIWATEKENYA KUNAKOTUKUKA Na Ndiyo Maana Wakirudi Kwenu Huwa Wote Unawaona Wamechoka Sana. Nasikia Raha Sana Kupendwa Na Hawa Dada Zako Na Mimi Kuwa Shemeji Yako.

Umeona wapi mwanaume mwenye tabia kama yako?
 
Mimi siyo mshabiki wa yeyote ila huu uzi ni wa kitoto sana, siamini kama great thinkers tunatakiwa kucomment hapa, tungetafakari mambo muhimu kwa mstakabali wa taifa letu
 
Rowasa ni habari nyingine mjomba mkuu wa kaya mwenyewe anakubali kichwa kimoja kinapambana na ccm nzima weka na mapumba siraha na masabuni wote chali upende usipende huyo ndio rais wetu ajae awe mgonjwa asiwe mgonjwa tunamtaka yeye
 
CCM ni magwiji wa negative campaign nimekubali. Tabu hata waandikavyo, msomaji anaona kabisa kuwa hii ni attitude ya mtu na hivyo haina impact.

No wonder no main hawajaindeleza Tanzania for the past 54 years main wamekalia majungu na none issues mno.

Na hii ipo hadi kwenye utendaji wa kawaida wa kila siku. Kwa mfano traffic akikusimamamisha barabarani kwa ajili ya masuala ya kiusalama barabarani, anauliza wapi kadi ya gari? Wakati kadi ya gari haisababishi ajali badala ya kuangalia tairi, breki nk kwa sababu anajua ni nzima na hazina makosa.

Ndio sawa na hizi propoganda sasa. Yote aliyoyaandika huyu hapo juu anajua hayapo, ila tu ni sawa na kucreate rushwa walio izoea ili watanzania waamini hivyo.

Bahati mbaya sana mmeshikwa pabaya sana this time round. Hatutaki tena ubabaishaji watanzania.
 
nafikiri ni mda sasa wa lowassa kuwachukulia hatua nyie watu mnaoshutumu bila ya kuwa na uhakika na ushahidi
 
Mgombea Urais wa UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:

  1. ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
  2. APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
  3. LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
  4. KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
  5. ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
  6. GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
  7. KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.

Hadi Sasa Waandaji Wa Huo MDAHALO Ndiyo Wako Ndani WANATAFAKARI Haya MASHARTI Ya Lowassa Na Ktk Hali ILIYOWASHANGAZA Kama Siyo Kuwafurahisha Hawa Waandaji Wa Huu MDAHALO Ambao Ni Kampuni Ya Wazungu Wa Kutoka Nchi Za Jumuia Ya Umoja Wa Ulaya Ni Kitendo Cha KISHUJAA Cha Mgombea Urais Wa CCM Dr. Magufuli Kusema Kuwa Yupo Tayari Kwa MDAHALO Muda Na Wakati Wowote Tena Hata Akiamshwa USINGIZINI Na Kama Haitoshi Akasema Kuwa Yupo Tayari Pia Hata Kuhojiwa Kwa Lugha Ya KIFARANSA Kwani Yeye Ni Linguist Tena ALIYETUKUKA Na Anajiamini.

Hatua Hii Ya Dr. Magufuli ILIWAFURAHISHA Sana Hawa Wazungu WAANDAJI Wa Huu MDAHALO Na Kwa Masikio Yangu YALIYOTUKUKA Nimewasikia Wakisema Nanukuu " Hakika Watanzania Sasa Mmepata Mrithi Wa Nyerere Kwani Huyu Dr. Magufuli Yupo Makini Sana, Atawafaa Mno WATANZANIA Na Anajua Anafanya Nini Hivyo Hakikisheni Kuwa Mnamchagua Kwani Tunaweza Hata Kuwasamehe Kama Si Kuwafutia Madeni Yenu Yote ILA Sisi Wazungu TUSIWAFICHE Kama Watanzania Mtaingia Choo Cha KIKE Hakyamungu MTATULIPA MADENI YETU YOTE ASUBUHI TU Na MKICHEZA Hata VIKWAZO Tutawawekeeni Ili Mtie Adabu " Mwisho Wa Kuwanukuu Hawa Wazungu.

Kwa USHAURI Wangu Tu Watanzania Wenzangu Tusifanye Makosa Kwa Pamoja TUHAKIKISHE Tunamchagua Kwa Nguvu Moja Mgombea Wa CCM Dr. John Magufuli Ili Awe Rais Wetu Na Tambueni Kuwa Urais Haujaribiwi Kama Nguo Za Mitumba Za Wamachinga. Kazi Kwenu!
#HapaKaziTu
 
Aiseee eti huyu naye ni greta thinka! Bora mimi niliyeishia la saba. Upuuzi.
 
Team Lowasa mna jazba!

Wasikutishe Na Usiwaogope Kaka Kwani NINAWAMUDU Wote Humu Vilivyo Na Hata Wao WANALITAMBUA Hilo. Kichwa Changu Kimoja Tu Hiki KINAWATESA Je Nikiunganisha Nguvu Na Wana CCM Wenzangu WALIOTUKUKA Humu Si Watapotea Kama Siyo Kukimbia Kabisa Humu JF?
 
fisadi gentamycin wewe ni ndorobo kwelikweli. mwaliko wa huo mdahalo umepewa wewe halafu umewajibu wewe unatuletea uzushi hapa. mwaliko wa mdahalo wa kitaifa huratibiwa na chama na bahati mbaya wewe ni msemaji wa chama cha maccm ambao wanahaha...tupia barua ya mwaliko kutoka jumuiya ya ulaya na majibu ya lowssa kutoka ukawa ili tukuamini vinginevyo hizi ni hadithi njoo urongo njoo
Mgombea Urais wa UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:

  1. ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
  2. APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
  3. LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
  4. KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
  5. ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
  6. GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
  7. KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.

Hadi Sasa Waandaji Wa Huo MDAHALO Ndiyo Wako Ndani WANATAFAKARI Haya MASHARTI Ya Lowassa Na Ktk Hali ILIYOWASHANGAZA Kama Siyo Kuwafurahisha Hawa Waandaji Wa Huu MDAHALO Ambao Ni Kampuni Ya Wazungu Wa Kutoka Nchi Za Jumuia Ya Umoja Wa Ulaya Ni Kitendo Cha KISHUJAA Cha Mgombea Urais Wa CCM Dr. Magufuli Kusema Kuwa Yupo Tayari Kwa MDAHALO Muda Na Wakati Wowote Tena Hata Akiamshwa USINGIZINI Na Kama Haitoshi Akasema Kuwa Yupo Tayari Pia Hata Kuhojiwa Kwa Lugha Ya KIFARANSA Kwani Yeye Ni Linguist Tena ALIYETUKUKA Na Anajiamini.

Hatua Hii Ya Dr. Magufuli ILIWAFURAHISHA Sana Hawa Wazungu WAANDAJI Wa Huu MDAHALO Na Kwa Masikio Yangu YALIYOTUKUKA Nimewasikia Wakisema Nanukuu " Hakika Watanzania Sasa Mmepata Mrithi Wa Nyerere Kwani Huyu Dr. Magufuli Yupo Makini Sana, Atawafaa Mno WATANZANIA Na Anajua Anafanya Nini Hivyo Hakikisheni Kuwa Mnamchagua Kwani Tunaweza Hata Kuwasamehe Kama Si Kuwafutia Madeni Yenu Yote ILA Sisi Wazungu TUSIWAFICHE Kama Watanzania Mtaingia Choo Cha KIKE Hakyamungu MTATULIPA MADENI YETU YOTE ASUBUHI TU Na MKICHEZA Hata VIKWAZO Tutawawekeeni Ili Mtie Adabu " Mwisho Wa Kuwanukuu Hawa Wazungu.

Kwa USHAURI Wangu Tu Watanzania Wenzangu Tusifanye Makosa Kwa Pamoja TUHAKIKISHE Tunamchagua Kwa Nguvu Moja Mgombea Wa CCM Dr. John Magufuli Ili Awe Rais Wetu Na Tambueni Kuwa Urais Haujaribiwi Kama Nguo Za Mitumba Za Wamachinga. Kazi Kwenu!
 
Nlivyoona nikadhani uzi wa maaana kumbe pumba tupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom