Lowassa akataa mdahalo na Magufuli isipokuwa...

Status
Not open for further replies.
UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:

  1. ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
  2. APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
  3. LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
  4. KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
  5. ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
  6. GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
  7. KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.

Hadi Sasa Waandaji Wa Huo MDAHALO Ndiyo Wako Ndani WANATAFAKARI Haya MASHARTI Ya Lowassa Na Ktk Hali ILIYOWASHANGAZA Kama Siyo Kuwafurahisha Hawa Waandaji Wa Huu MDAHALO Ambao Ni Kampuni Ya Wazungu Wa Kutoka Nchi Za Jumuia Ya Umoja Wa Ulaya Ni Kitendo Cha KISHUJAA Cha Mgombea Urais Wa CCM Dr. Magufuli Kusema Kuwa Yupo Tayari Kwa MDAHALO Muda Na Wakati Wowote Tena Hata Akiamshwa USINGIZINI Na Kama Haitoshi Akasema Kuwa Yupo Tayari Pia Hata Kuhojiwa Kwa Lugha Ya KIFARANSA Kwani Yeye Ni Linguist Tena ALIYETUKUKA Na Anajiamini.

Hatua Hii Ya Dr. Magufuli ILIWAFURAHISHA Sana Hawa Wazungu WAANDAJI Wa Huu MDAHALO Na Kwa Masikio Yangu YALIYOTUKUKA Nimewasikia Wakisema Nanukuu " Hakika Watanzania Sasa Mmepata Mrithi Wa Nyerere Kwani Huyu Dr. Magufuli Yupo Makini Sana, Atawafaa Mno WATANZANIA Na Anajua Anafanya Nini Hivyo Hakikisheni Kuwa Mnamchagua Kwani Tunaweza Hata Kuwasamehe Kama Si Kuwafutia Madeni Yenu Yote ILA Sisi Wazungu TUSIWAFICHE Kama Watanzania Mtaingia Choo Cha KIKE Hakyamungu MTATULIPA MADENI YETU YOTE ASUBUHI TU Na MKICHEZA Hata VIKWAZO Tutawawekeeni Ili Mtie Adabu " Mwisho Wa Kuwanukuu Hawa Wazungu.

Kwa USHAURI Wangu Tu Watanzania Wenzangu Tusifanye Makosa Kwa Pamoja TUHAKIKISHE Tunamchagua Kwa Nguvu Moja Mgombea Wa CCM Dr. John Magufuli Ili Awe Rais Wetu Na Tambueni Kuwa Urais Haujaribiwi Kama Nguo Za Mitumba Za Wamachinga. Kazi Kwenu!
Hivi unahabari kuwa baba wa uongo Ni shetani?
 
JF NAONA IMEKUWA NI GENGE LA WAHUNI.

MODS MNARUHUSU VIP POST ZA KIPUMBAVU KAMA HIZ KUWEPO HAPA JAMVINI???????

au kuna mlungula??

Huo Unaouita UPUUZI Kama Ningeundika Kuuelekeza Kwa Dr. Magufuli Hakika Hizi Lawama Zenu Zote Nisingezisikia. Watu Wa UKAWA Na CHADEMA Acheni UNAFIKI. Leo Mnaona Yangu Tu Haya Na Hadi Kuwataka Mods Na TCRA Wachukue Hatua Je Vipi ULE Upuuzi Wa Jana Wa Mama Rose Kamili Pale Regency Hotel? Je Alikuwa Sahihi? Najua Miiko Na Kanuni Zote Za Mods Humu JF Na Hao TCRA Na Kwa Vigezo Vyao Nina UHAKIKA Tena ULIOTUKUKA Kuwa Nipo Salama Na Sijakosea Popote. Kuna Watu Wengi Tu Humu Wanakuja Na Vitu VIKUBWA Tena Negative Vya Kumuhusu Huyo Huyo Mbaya Wenu Dr. Magufuli Mbona Huwa MNAUNYUTI Tu Na Hamuwaiti Hao Mods Na TCRA? Naona Ile Dozi Ya Juzi Ya Dr. Wilbroad Slaa Bado INAWATESA Kama Siyo KUWALEVYA.
 
UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:

  1. ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
  2. APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
  3. LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
  4. KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
  5. ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
  6. GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
  7. KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.

......blah blah blah!

Juzi juzi ulikuwa unalia lia hapa kwamba kuna watu wanakuandama, mara usalama wako uko mashakani...Kwa aina hii ya kufikiri , hata huyo unayedai alikuwa anakuandama atakuwa mwehu.
 
TCRA Mmelala?

Wana Vigezo Vyao Halafu Isitoshe Wanajitambua Kuliko Wewe. Labda Kuliko Kuendelea Kunishutumu Na Kuomba Msaada Huko Mnakokimbilia Kwanza Niambieni Ktk Uzi Wangu Wapi Nimeenda Kinyume Na Hao MNAONISHITAKIA Kwao. Nadhani TCRA Kabla Ya Kuanza Na Mimi Waanze Na ITV, CAPITAL Tv, EATV Na Radio One Ndipo Nitawaona Wapo Serious Na Kama Wakiwa Hawana UTHIBITISHO Wowote Wa Hvyo Vituo Wanitafute Nitawapa Ushirikiano Tena Mkubwa Sana Wa Makosa Yao Tena Nikiwa Na USHAHIDI Wa Picha Na Sauti Ili Twende Sawa. Na Kama Hao TCRA Watakuwa Kweli Wapo Makini Wamtafute Tena Na Yule Kijana Wa CHADEMA + UKAWA Bingwa Wao Wa IT Anayetengeneza Matukio Ya Kuichafua CCM Mitandaoni Kwa Kutengeneza Matukio Kisha Anayasambaza Ktk Mitandao Na Simu Zetu. Kama Wakitaka Jina Lake Na Hadi Alipo Wanitafute Nitawapa Huo Ushirikiano. au Kwenu Nyie WANACHOKIFANYA UKAWA Na CHADEMA Humu Mitandaoni Wakiongozwa Na Huyu Kijana Wao Wa IT Kwenu Hakina Madhara Wala Hakichochei? Ila Uchochezi Ni Pale Tu Mimi Ninapokuja Na UZI Humu Wa Kuikandia CHADEMA + UKAWA? Narudia Tena ACHENI UNAFIKI.
 
Cheap propaganda. Hawa ndio cybercrime inawahusu. Total lies
 
Sina uhakika kama kichwa kilichofikiria hili bandiko kipo kwenye mwili wa binadamu, kama ndiyo basi kichwa hiki anakitumia kufugia nywele tu....
 
Mgombea Urais wa UKAWA Ndugu Edward Lowassa AMEKATAA KUFANYA MDAHALO WOWOTE Na Mgombea Urais Wa CCM Dr. John Pombe Joseph Magufuli Mpaka MASHARTI Haya Yafuatayo YATEKELEZWE:

  1. ARUHUSIWE KUFANYA MDAHALO HUKU AKIWA AMEKETI KWENYE SOFA ZURI.
  2. APEWE MASWALI ATAKAYOULIZWA ILI AYAKARIRI ANGALAU KWA WIKI 1 TU KWANI SASA AMEZEEKA.
  3. LUGHA AMBAYO ITATUMIKA IWE YA KISWAHILI TU NA SIYO YA KIINGEREZA.
  4. KTK MDAHALO HUO WAWEPO MAMA NTILIE, WAMACHINGA NA WAENDESHA BODABODA WENGI.
  5. ANATAKA AWEPO NA AKINA MBATIA, MBOWE, SUMAYE NA LISSU ILI WAMSAIDIE KUJIBU MASWALI.
  6. GARI YA AMBULANCE YENYE VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU LIWEPO STANDBY.
  7. KTK HUO MDAHALO KUWEPO NA LIFTI KWANI YEYE NI SPANA MKONONI TENA ALIYETUKUKA.

Hadi Sasa Waandaji Wa Huo MDAHALO Ndiyo Wako Ndani WANATAFAKARI Haya MASHARTI Ya Lowassa Na Ktk Hali ILIYOWASHANGAZA Kama Siyo Kuwafurahisha Hawa Waandaji Wa Huu MDAHALO Ambao Ni Kampuni Ya Wazungu Wa Kutoka Nchi Za Jumuia Ya Umoja Wa Ulaya Ni Kitendo Cha KISHUJAA Cha Mgombea Urais Wa CCM Dr. Magufuli Kusema Kuwa Yupo Tayari Kwa MDAHALO Muda Na Wakati Wowote Tena Hata Akiamshwa USINGIZINI Na Kama Haitoshi Akasema Kuwa Yupo Tayari Pia Hata Kuhojiwa Kwa Lugha Ya KIFARANSA Kwani Yeye Ni Linguist Tena ALIYETUKUKA Na Anajiamini.

Hatua Hii Ya Dr. Magufuli ILIWAFURAHISHA Sana Hawa Wazungu WAANDAJI Wa Huu MDAHALO Na Kwa Masikio Yangu YALIYOTUKUKA Nimewasikia Wakisema Nanukuu " Hakika Watanzania Sasa Mmepata Mrithi Wa Nyerere Kwani Huyu Dr. Magufuli Yupo Makini Sana, Atawafaa Mno WATANZANIA Na Anajua Anafanya Nini Hivyo Hakikisheni Kuwa Mnamchagua Kwani Tunaweza Hata Kuwasamehe Kama Si Kuwafutia Madeni Yenu Yote ILA Sisi Wazungu TUSIWAFICHE Kama Watanzania Mtaingia Choo Cha KIKE Hakyamungu MTATULIPA MADENI YETU YOTE ASUBUHI TU Na MKICHEZA Hata VIKWAZO Tutawawekeeni Ili Mtie Adabu " Mwisho Wa Kuwanukuu Hawa Wazungu.

Kwa USHAURI Wangu Tu Watanzania Wenzangu Tusifanye Makosa Kwa Pamoja TUHAKIKISHE Tunamchagua Kwa Nguvu Moja Mgombea Wa CCM Dr. John Magufuli Ili Awe Rais Wetu Na Tambueni Kuwa Urais Haujaribiwi Kama Nguo Za Mitumba Za Wamachinga. Kazi Kwenu!

Hivi una akili kweli? Au wameshakununua ?
 
Mijitu inapitisha sheria kwa mbwembwe mipesa lukuki kumbe ni ulaghai mtupu!!!
 
Cheap propaganda. Hawa ndio cybercrime inawahusu. Total lies

Bahati Nzuri Sana I am A Battle Hardened General Hivyo Sidhani Kama Nitaogopa Kupambana Endapo Hao Wenye Jukumu Lao Watakuwa Na Hoja Ya Kimantiki Kwangu.
 
Hivi una akili kweli? Au wameshakununua ?

Yawezekana Kama Ambavyo Mzee Mtei Mwenye Chama Chake, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Lissu Na Sumaye Walivyonunuliwa Na Lowassa Kwa Zaidi Ya Tsh Bilioni 10. au Tufunguke Zaidi Ili Mzidi Kurudisha Kadi Za CHADEMA Kama Ambavyo Wanafanya Sasa Huko Mikoani Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Mtwara Na Rukwa?
 
Kujua jinsia ya mtu ni rahisi sana endapo utasoma kile aandikacho.... huyu mwandishi nahisi anaishi na dada zake na ndo maana ana tabia za kike
 
Hujakosea Upo Sahihi Tena 100% Na Hata Baadhi Ya Dada Zako Nao Huwa Nashinda Nao Muda Wote Ghettoni Kwangu NIKIWATEKENYA KUNAKOTUKUKA Na Ndiyo Maana Wakirudi Kwenu Huwa Wote Unawaona Wamechoka Sana. Nasikia Raha Sana Kupendwa Na Hawa Dada Zako Na Mimi Kuwa Shemeji Yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom