mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
LOWASA AIKACHA KARATU:
Leo mgombea urais wa UKAWA Bw.Lowassa aliwatosa wakazi wa Karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika.
Lowassa aliweza kuhutubia Mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na Karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari.
Upekupeku uliofanyika umeelezwa kuwa jamaa aliingia mitini kwani wananchi wa Karatu walijiandaa kumzomea kwa nguvu zote kwani huko ndiko anakotoka Dr Slaa!
Kutokwenda kwake ni wazi kuwa kura za Karatu mhe huyu amezitoa sadaka kwa CCM!