Lowassa aikacha Karatu

Lowassa aikacha Karatu

Jana alikuwa kawe, leo babati, hizi kampeni za chopa mbona ka utalii wa ndani? Hapo mvua hazijaanza kunyesha anatupungia akiwa angani, mwaka huu kazi tunayo.

Ccm chaaliiiiiiiiii
 
Soma ratiba ya ukawa vizuri, wapo strategic! Unataka kutuaminisha pia kuwa duka mbovu, arusha mjini, ngaramtoni, usa river alipopita bila kufanya kampeni ni ngome ya silaa? .hii ni strategic battle, 3 combination 3, 4x2, 1x2x3.....

Muongezee kuwa mbona hawasemi kwa nini Lowassa hajafanya kampeni Monduli Mjini na Makuyuni..
 
Hivi ile meli ya kinanaa iliyokamatwa na meno ya tembo ikisharudishwa tanzania?

Hizo n propaganda tu
Labda kama unazungumzia ile gari aliyokamatwa nayo sumaye ameshen meno ya temb0 hukp ulanga?
 
Karatu ndiyo wapi wale wote ni ukawa Kama wako wanamtaka silaha wameshachelewa wamfwate Dar kumbuka Chama ni cha wana chi sio Silaa jamani
 
Labda ikulu ya msoga, lkn ikulu ya magogoni ni lowasa

Mmawia sio lazima uquote kila post
Najua unataka uonekane unafanya kaz uliyotumwa na hemmedy
Mratibu wenu wa 4u mvt

Maana unaongea ----- tu
Bora hata ungekuwa unajibu kwa hoja nzito
Pole sana dada
 
Hizo n propaganda tu
Labda kama unazungumzia ile gari aliyokamatwa nayo sumaye ameshen meno ya temb0 hukp ulanga?

Inaonyesha ni jinsi gani kuwa wewe unacho andika humu jf unaandaliwa na lumumba maana hata hujui nini kinaendelea duniani
 
Mmawia sio lazima uquote kila post
Najua unataka uonekane unafanya kaz uliyotumwa na hemmedy
Mratibu wenu wa 4u mvt

Maana unaongea ----- tu
Bora hata ungekuwa unajibu kwa hoja nzito
Pole sana dada

Eti hoja nzito!, hivi hapo hoja nzito ni ipi kama siyo uharo mtupu?
 
Karatu ndiyo wapi wale wote ni ukawa Kama wako wanamtaka silaha wameshachelewa wamfwate Dar kumbuka Chama ni cha wana chi sio Silaa jamani

Aaaaah eeeeeeh wanafikiri ukawa ni mali binafsi ya dr mihogo
 
Inaonyesha ni jinsi gani kuwa wewe unacho andika humu jf unaandaliwa na lumumba maana hata hujui nini kinaendelea duniani

Naweza nikawa sijui ndio
Ila suala la sumaye kudhurum mashamba mvomero
Na kilombero
Na ufisad mkubwa kuwahi kutokea ule wa lowasa wa mwaka 2008
Haya sitoyasahau

Lakin kubwa kabisa liliko kichwan 24/7 ni lile tukio la geita la lowasa kujinyea
Asee
 
Nakushukuru kwa kutuwekea ushahidi mzuri sana husiyo na shaka ktk kile kinacho onekana kudhalilisha viongozi wa kisiasa, msije mkajidanganya kwa kutumia hizo fake IDs hamtapatikana
 
Kama wananchi wamegeuzwa kuwa ngome ya mtu au ya chama flani,nikwa ujinga na hasara yao,wananchi wanapaswa kusikiliza na kutafakari wakiwa na vichwa huru,iliwachukue hatua,kuwa mateka wa kisiasa ni utumwa unaopelekea kufa masikini wa mahitaji na akili
 
Nakushukuru kwa kutuwekea ushahidi mzuri sana husiyo na shaka ktk kile kinacho onekana kudhalilisha viongozi wa kisiasa, msije mkajidanganya kwa kutumia hizo fake IDs hamtapatikana

Dawa imekuingia
Na
Ukome kutetea mafisadi makubwa yanayotaka kuifilisi nchi hii

Jambaz aitwae lowasa mwambie akae chonjo
magufuli anakuja
 
LOWASA AIKACHA KARATU:

Leo mgombea urais wa UKAWA Bw.Lowassa aliwatosa wakazi wa Karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika.

Lowassa aliweza kuhutubia Mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na Karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari.

Upekupeku uliofanyika umeelezwa kuwa jamaa aliingia mitini kwani wananchi wa Karatu walijiandaa kumzomea kwa nguvu zote kwani huko ndiko anakotoka Dr Slaa!

Kutokwenda kwake ni wazi kuwa kura za Karatu mhe huyu amezitoa sadaka kwa CCM!

mwigulu vip karatu kilimtokea nini nasikia hadi akasahau chopa kakimbilia kwenye defender ya policcm. Hatareeee!!!
 
Back
Top Bottom