marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
Fisadi huyo anaujua mziki wa karatu
Naona mnaandika na kujijibu wenyewe. ....
Mmeshikwa pabaya. ...
Fisadi huyo anaujua mziki wa karatu
Labda ratiba yako ndio inasema alikuwa aje Karatu.... Ila kama una ratiba sahihi hii post yako ni ya ovyo
umetimuliwa KULE NA VITU VYA KUTUNGA UMEKUJA HUKU SASA WW NADHANI UNAAMINI KATIKA UONGO ,HUO NI UGONJWA MBAYA SANA NA TENA KAMA UNA MKE NA WATOTO AU MTOTO HATARI KUBWA TUPE USHAHIDI WA UNAYO SEMA UKISHINDWA NAWEKA MM NA UJIONDOE KATIKA JUKWAA LA SIASA HATUHITAJI SIASA NYEPESI SASA
Hoja gani hapo?
Uzi ukikosa wachangiaji mnaurudia mara kibao mpaka inachosha.
Mods mnakazi mwezi huu ......
ww kama una elewa siunge andika kabla ya mwenzio huyo mafundisho ya komnyo ya kwanza , nataka mtoa habari ajieleze akishindwa niweke uwazi na anihakikishie kujitoa jf, kwa kua unajifanya mjuaji namuacha mwenzio anayehitaji mafundisho nakutaka sasa ww sijui ndio mwalimu wake toa majibu ukishindwa ww na mafundisho shut up and run out of jfhoja nyepesi,hujamwelewa mwandishi,au ndo viroba
Kikwete alimuuliza Magufuli vipi kampeni za mwaka huu? Magufuli akasema Acha Uhuni Wako, umeua Chama uliwadanganya Wananchi, Walimu na Vijana, Ajira hakuna,na kuwaambia Maisha bora kwa kila Mtanzania, Ona sasa unavyonipa shida mpaka napiga Pushapu Majukwaani kama hali itakuwa ahueni, lakini Wananchi bado hawanisikii wala hawanielewi.
LOWASA AIKACHA KARATU:
Leo mgombea urais wa ukawa Bw.Lowasa aliwatosa wakaz wa karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika,Lowasa aliweza kuhutubia mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari,upekupeku uliofanyika umeelezwa kuwa jamaa jamaa aliingia mitini kwani wananchi wa karatu walijiandaa kumzomea kwa nguvu zote kwani huko ndiko anakotoka Dr Slaa!Kutokwenda kwake ni wazi kuwa kura za karatu mhe huyu amezitoa sadaka kwa CCM!
Weee,aende kwani hajipendi,na kule kuongea kwake kama anatafuna mua si ndo mdomo ungekuwa zege kabisa
Acha kiherehere we kengeLOWASA AIKACHA KARATU:

CCM out October
Kwa hiyo unataka afanye kampen maeneo kum kwa cku.Leo kahutubia maeneo manne au ulitaka lazima aende karatu