leo ilikua
mto wa mbu
mangola
babati
uwe unafuatilia ratiba mkuu!!kesho zenji
mgombea wao anazomewa mbeya iyunga wanasema anashangikiwa hawa jamaa wana weza vunja record ulimwenguni kwa kuto kuelewa vitu au kwa kuelewa kinyume vitupropaganda season kamanda...hata ratiba yetu hawana..... They just rely on prediction.
Leo ilikuwa zamu ya babati but those propagandists wamefunga macho na akili iko locked ki-ccm.
LOWASA AIKACHA KARATU:
Leo mgombea urais wa UKAWA Bw.Lowassa aliwatosa wakazi wa Karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika.
Lowassa aliweza kuhutubia Mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na Karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari.
Upekupeku uliofanyika umeelezwa kuwa jamaa aliingia mitini kwani wananchi wa Karatu walijiandaa kumzomea kwa nguvu zote kwani huko ndiko anakotoka Dr Slaa!
Kutokwenda kwake ni wazi kuwa kura za Karatu mhe huyu amezitoa sadaka kwa CCM!

Huyo hawezi karatu, ngome ya Slaa pale,hawana utani wanainchi wa karatu